Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

7. WANYAMWEZI
 
We jamaa iringa umeishi??
Kule kuna wahehe, wabena, wakinga, nk ni kabila gani hapo utapata pisi??
Mbeya nako pisi ni mbovu ila zina uafadhari na walau zina zigo la kutosha ila iringa ni wembaba, wafupi weusi.
Hahaha iringa wafupi sana sijui shida nn
 
Simple and clear kama wao ambavyo hawaelewi wanachokitaka na wewe hivyo hivyo unatakiwa usieleweke kwake ila fanya majukumu yako na usimdekeze, maana ni rahisi sana kichaa kuishi na kichaa mwezake maisha yao yote, hivyo usiruhu binti wa huu ukanda wa kaskazini akakuelewa hata siku moja hata kama unaona kabisa leo ndiyo una kufa usikubali akakuelewa au akajua ndiyo unakufa au unakaribia kufa hapa utakua umemuweza na hakika atakuganda kwa kumnyima kile anachokitaka huku akiamini ipo siku atapata kile anachokitaka kumbe wewe unajua humpi na haelewi kama humpi.

Nb: Shauri yenu wanaume wezangu kama mtashindwa kutokueleweka kwa hawa viumbe wa kaskazini
 
Ukitaka kustarehe basi owa mtu wa kabila lako lkn kama wewe ni muhaya ukaenda kuowa mmakonde utapata shida ni hivyo mjita kumuowa mzaramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…