Kuowa mtu ni bora zaidi mtu kuowa kabola lako
Vipi SingidaKuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!
Makabila bora kabisa kupata mke ni:
1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia
2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi
3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara
4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa
5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana
6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.
KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini
Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.
Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.
View attachment 2883317
AhsanteKuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Wewe wa wapi?Vipi jamani wanawake wa kihangaza wana sifa zipi?
Hata mimi hi imenishangazwa; Wanawake wa Kichagga ni moja kati ya wanawake bora sana Tanzania but mwamba kawachanganya na wa Bagamoyo na Tanga; kweli?wachaga mbona nao wake n wife material
hao wanawake wa kikurya hasa wakiwa wamesoma sio wa kuwaoa ni pasua ndonga. mjomba wangu na ujeuri wake aliona yaishe wapeane talaka. mwanamke pimbi kweli jeuri mbwa.Inabidi uwe mvuta bhangi ili muende sawa
Hao ukiishiwa hela wanakimbia na ukipata hela wanakuuwaHata mimi hi imenishangaza; Wanawake wa Kichagga ni moja kati ya wanawake bora sana Tanzania but mwamba kawachanganya na wa Bagamoyo na Tanga; kweli?
Mmh bila kusahau hutakua peke yakoWanawake poa sana wako pwani.
Tatizo dini yao tu. Uwe muislam mwenzao.
Hawa wavumilivu sana kwa mume na wana utu sana. Tatizo lao uswahili na mdomo tu
Acha roho mbaya 😄mtaachana
Chukua mnyakyusa hutojutia 🥴Tatizo siku hizi muhehe ila kazaliwa na kukulia Manzese.
Nadhani story za kitaa hizo. Nawafahamu wanawake kadhaa wa Kichagga waliolewa na makabila mengine, wenye fedha na wasio na fesha na wana dunda tu. Kuna mmoja Mmachame katolewa na jamaa mmoja, hana pesa kiviile na ana ndugu zake walikua na UKOMA na mtoto wa kike kadumisha ndoa tu, nimemfahamu over 20 years ago na still wanaishi to-dateHao ukiishiwa hela wanakimbia na ukipata hela wanakuuwa
Fact 😊Ukioa kwa kigezo hicho tu cha ukabila hakika unakwenda kuumia!!
Fanya yote ila kigezo kikuu kibakie "Akili yake na ufanikiwe kujua nini Matamanio yake ili uweze kuyatimiza"
Hata wao hujizungumzia kwamba wapo after money....sasa sijui maelezo yako......labdaNadhani story za kitaa hizo. Nawafahamu wanawake kadhaa wa Kichagga waliolewa na makabila mengine, wenye fedha na wasio na fesha na wana dunda tu. Kuna mmoja Mmachame katolewa na jamaa mmoja, hana pesa kiviile na ana ndugu zake walikua na UKOMA na mtoto wa kike kadumisha ndoa tu, nimemfahamu over 20 years ago na still wanaishi to-date