Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!

Makabila bora kabisa kupata mke ni:

1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia

2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi

3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara

4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa

5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana

6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.

KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini

Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.

Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.

View attachment 2883317
Vipi Singida
 
Ahsante
 
Wanawake poa sana wako pwani.

Tatizo dini yao tu. Uwe muislam mwenzao.

Hawa wavumilivu sana kwa mume na wana utu sana. Tatizo lao uswahili na mdomo tu
Mmh bila kusahau hutakua peke yako
Wanafundishwa lzm uwe na kidumu pembeni
 
Hao ukiishiwa hela wanakimbia na ukipata hela wanakuuwa
Nadhani story za kitaa hizo. Nawafahamu wanawake kadhaa wa Kichagga waliolewa na makabila mengine, wenye fedha na wasio na fesha na wana dunda tu. Kuna mmoja Mmachame katolewa na jamaa mmoja, hana pesa kiviile na ana ndugu zake walikua na UKOMA na mtoto wa kike kadumisha ndoa tu, nimemfahamu over 20 years ago na still wanaishi to-date
 
Hata wao hujizungumzia kwamba wapo after money....sasa sijui maelezo yako......labda
 
Back
Top Bottom