Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

Nani kakwambia ATCL ni Mali ya uma?
Kwasasa nadhani unamjua anaye nunua ndege,PESA inatoka mfukoni mwake iweje ije kukaguliwa na CAG?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Ni muda ndio utasema tu kuwa Magufuri na genge lake ni wazalendo.
Hao hao wakina pole pole,kabudi,etc waliomzunguka kumpigia makofi ndio watakaomkana.
Ni suala la muda tu
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hata kwenye Migodi ya BARRICK sasa CAG haruhusiwi kusogeza pua yake huko.
 
Hizo ndo sehemu za upigaji, jamaa kapiga sana pesaa za Tanroads akishirikiana na yule mwenye jina kwenye daraja pale njia panda ya kwenda Airports
 
Kwa kutumia uzi huu,(Yaliofanyika huko sijui na siwezi kuyathbitisha) ,naomba makandarasi wazawa waanzae kujitafakari kiuzalendo na kitaluma,,they are professionals kuna maadili ya kitaluma (professional ethics) ,kwa nn nwengi wanajiingiza kwenye vitendo vinavyokiuka maadili na miiko ya kazi zao. Wakipewa kazi wanajivutavuta na kuanza kutafuta mianya ya kuhurumiwa na kufanya kazi ambazo nyingi ziko chini ya viwango na kuchelewa kuwasilisha kazi kwa muda. Makandarasi wetu wawe na fikra pana ,wafanye kazi kwa weredi na kwa ufanisi .Waachane na rushwa na mambo mengine asiyofaa na nina uhakika wanaweza kupata kazi nchi nyingine za jirani. Construction industry ina hela ,lakini kwa sababu ya kupenda kubebwa wanaishia kupata vikazi vidogo vya ovyo na vyenyewe vinaisha kwa migogoro. Ndugu zangu makandarasi naomba mwanze kujitathimini kama fani yenu mnaitendea haki? Je mnaaminika mkipewa kazi? Achaneni na shortcut kama mnataka kuendelea. Ni yangu tu
 
na ili akuweke kuongoza hizo taasisi lazima uwe confidant wake, uweze kumfichia siri
 
Tushangilie, tusifie na kuimba nyimbo zote za kumpamba mtu lakini nawaambia kuna mtu atakapo kuwa hayupo ofisini katiba na sheria zitabadilishwa na ataishia jela na wapambe wake.
Hakuna maisha mabaya kwa mtu na familia yake kama unaanzia utukufu kisha unaishia kumalizia uzee wako jela huku mke na watoto wakiishi kwa fedheha na aibu.
Mamlaka ya dunia sio ya kuyafanyia kiburi, ukiishi kwa kufuata katiba, sheria na taratibu huku ukiwaheshimu waliokupa mamlaka hakika utafurahia maisha na wajukuu zako na utakufa kwa heshima.
Vinginevyo utamlaumu Mungu bure wakati alikupendelea miongoni mwa mamilioni.
 
Naam ni kampuni yake Mkuu na huyo Steven Makigo walikutana UDSM na sasa ni MD kwenye kampuni yake Mayanga Contractors ambayo imejenge chato airport na kupewa projects nyingi kule chato kwa kupitia mlango wa nyuma.

Duuh itakuwa ni kampuni ya baba mwenye nyumba
 
Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kueleza sababu za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutofanya ukaguzi katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Wakala wa Barabara (Tanroads).

Akizungumza katika mjadala wa bajeti hiyo leo Jumatatu, Aprili 23 bungeni mjini Dodoma, Silinde amesema, “Kuna usiri gani wa kuleta taarifa ya ukaguzi wa ATCL bungeni. Isije kuwa tunapigwa fedha kupitia shirika hili. Tunataka waziri atueleze sababu ni nini?

“Pia ukaguzi wa Tanroads nao hauonekani na kuna taarifa huko mitaani kuna miradi hewa ya barabara iliyogharimu Sh282bilioni, tunataka kujua thamani ya barabara zinazojengwa kupitia ukaguzi wa CAG. Mtueleze kwanini hauletwi hapa bungeni.”

Kwa mfano: Hii Kampuni iliyokula Bilioni 14 bila kujenga hata mita moja pamoja na umuhimu wa barabara ya Makutano, Natta, Mugumu, Loliondo mpaka Mto wa Mbu kwa utalii Serengeti ndio imejenga Chato Airport, unajua kwanini?
 
Naam ni kampuni yake Mkuu na huyo Steven Makigo walikutana UDSM na sasa ni MD kwenye kampuni yake Mayanga Contractors ambayo imejenge chato airport na kupewa projects nyingi kule chato kwa kupitia mlango wa nyuma.
Aiseee !!!
 
Back
Top Bottom