Atropine
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 776
- 1,777
Hii ndio Serikali ya wanyonge!
Serikali ya kupambana na rushwa na ufisadi!
serikali ya viwanda!
Sirikali ya kumkomboa maskini!
Serikali ya kazi tu!
Kama hii ni Serikali inayopambana na rushwa na ufisadi hadharani, kwanini :
1. Matumizi katika Ofisi ya Raisi hayapaswi kukaguliwa na CAG?
2. Ununuzi wa ndege na shirika la ATCL halipaswi kukaguliwa na CAG?
3. Matumizi ya fedha za walipa kodi katika TANROADS hayapaswi kukaguliwa na CAG?
4. Mapato katika sekta ya Madini hayapaswi kukaguliwa na CAG?
Binafsi, nilipoona katika mwaka wa kwanza wa fedha wa awamu hii ya tano, kiasi cha Tsh.1.5 T hazijulikani matumizi yake ndio nilijua nini maana ya Hapa Kazi Tu!.