Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

Kashindwa kuwaondoa machangudoa,
Kashindwa kuwaondoa kina Matonya, kashindwa kulazimisha kila ofisi kuweka picha ya rais
Kashindwa kuwapima watu tezi dume
Yeye kafanya nn,mkoa umemshinda
 
Ofisi yenu ufipa haikupitia hii kabla ya kupost au ndiyo uwezo wenu umeisha hapo.
Yaani hujui hata Professor Mbarawa ni Waziri ktk Wizara gani?
Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads

Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa

Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kueleza sababu za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutofanya ukaguzi katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Wakala wa Barabara (Tanroads).

Akizungumza katika mjadala wa bajeti hiyo leo Jumatatu, Aprili 23 bungeni mjini Dodoma, Silinde amesema, “Kuna usiri gani wa kuleta taarifa ya ukaguzi wa ATCL bungeni. Isije kuwa tunapigwa fedha kupitia shirika hili. Tunataka waziri atueleze sababu ni nini?

“Pia ukaguzi wa Tanroads nao hauonekani na kuna taarifa huko mitaani kuna miradi hewa ya barabara iliyogharimu Sh282bilioni, tunataka kujua thamani ya barabara zinazojengwa kupitia ukaguzi wa CAG. Mtueleze kwanini hauletwi hapa bungeni.”

Kwa mfano: Hii Kampuni iliyokula Bilioni 14 bila kujenga hata mita moja pamoja na umuhimu wa barabara ya Makutano, Natta, Mugumu, Loliondo mpaka Mto wa Mbu kwa utalii Serengeti ndio imejenga Chato Airport, unajua kwanini?

View attachment 1245587
 
Nahisi wananchi wengi ni wajinga sana kuweza kuwa na akili ya kufuatilia hayo mambo. Hata kama wanatuita keyboard heroes, ni sawa,ila tunajitahidi sana kuwaelewesha. Haya mambo tunayaongea humu like everyday! CAG anazuiwa kukagua manunuzi ya ndege, kukagua ATCL,Madini, n.k. Pengine kuna mengi zaidi amezuiwa,hatujui. Fedha kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya CAG zimepigwa panga.Yanafanyika manunuzi bila kupitishwa na bunge wala kufuata procurement law,wananchi wanaona ni sawa. Attitude za wananchi wenzetu zinakatisha tamaa sana.
 
Ofisi yenu ufipa haikupitia hii kabla ya kupost au ndiyo uwezo wenu umeisha hapo.
Yaani hujui hata Professor Mbarawa ni Waziri ktk Wizara gani?
Mpaka sasa unawaza ujinga huu basi hakika tupo kwenye ujinga zaidi ya shetani.
 
Nahisi wananchi wengi ni wajinga sana kuweza kuwa na akili ya kufuatilia hayo mambo. Hata kama wanatuita keyboard heroes, ni sawa,ila tunajitahidi sana kuwaelewesha. Haya mambo tunayaongea humu like everyday! CAG anazuiwa kukagua manunuzi ya ndege, kukagua ATCL,Madini, n.k. Pengine kuna mengi zaidi amezuiwa,hatujui. Fedha kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya CAG zimepigwa panga.Yanafanyika manunuzi bila kupitishwa na bunge wala kufuata procurement law,wananchi wanaona ni sawa. Attitude za wananchi wenzetu zinakatisha tamaa sana.
Nice chief umeongea kizalendo sana. Mungu akubariki maisha yako
 
Umeona tu Makame Mbarawa ukakimbilia kucomment. Aiseee hiyo habari ni ya tar 23 mwezi wa 4
Profesa Makame Mbarawa ni waziri wa ujenzi? Eti huyu ndiyo akili kubwa ya chadema anayetegemewa ni aibu.
 
Sheria za matumizi ya fedha za umma zilizotungwa enzi zile zilikataa kukagua matumizi yanayofanyika ofisi ya raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Mapato na matumizi ya MIGODI YOTE YA SERIKALI, MASHIRIKA YA ATCL NA TANRODS hayakaguliwi kwa mujibu wa sheria siyo kwa matakwa ya JPM tulieni vilaza nyie msiwapotoshe watanzania.

Mtapata tabu sana awamu hii ya tano wapiga madili hali yenu itazidi kuwa mbaya
 
Ficha ujinga wako. Hii ni habari ya April. Jibu hoja ya kwanini CAG hakagui ATCL na TANROADS?
Ofisi yenu ufipa haikupitia hii kabla ya kupost au ndiyo uwezo wenu umeisha hapo.
Yaani hujui hata Professor Mbarawa ni Waziri ktk Wizara gani?
 
Kwa hiyo wewe unaona ni sahihi kwa hayo mashirika kutokaguliwa?
Sheria za matumizi ya fedha za umma zilizotungwa enzi zile zilikataa kukagua matumizi yanayofanyika ofisi ya raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Matumizi ya MASHIRIKA YA ATCL NA TANRODS hayakaguliwi kwa mujibu wa sheria siyo kwa matakwa ya JPM tulieni vilaza nyie msiwapotoshe watanzania.
 
Umesahau na kwenye madini..sidhani kama CAG anagusa huko...

Hakuna serikali tapeli na pigaji kama hii ya awamu ya 5..muda utaongea..

CCm ni genge la wanyanganyi na wahuni.

#MaendeleoHayanaChama.
 
Nahisi wananchi wengi ni wajinga sana kuweza kuwa na akili ya kufuatilia hayo mambo. Hata kama wanatuita keyboard heroes, ni sawa,ila tunajitahidi sana kuwaelewesha. Haya mambo tunayaongea humu like everyday! CAG anazuiwa kukagua manunuzi ya ndege, kukagua ATCL,Madini, n.k. Pengine kuna mengi zaidi amezuiwa,hatujui. Fedha kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya CAG zimepigwa panga.Yanafanyika manunuzi bila kupitishwa na bunge wala kufuata procurement law,wananchi wanaona ni sawa. Attitude za wananchi wenzetu zinakatisha tamaa sana.
Nahisi CAG ajaye atakuwa ni kada wa CCM sampuli ya Humphrey Pole Pole.
 
Sheria za matumizi ya fedha za umma zilizotungwa enzi zile zilikataa kukagua matumizi yanayofanyika ofisi ya raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Mapato na matumizi ya MIGODI YOTE YA SERIKALI, MASHIRIKA YA ATCL NA TANRODS hayakaguliwi kwa mujibu wa sheria siyo kwa matakwa ya JPM tulieni vilaza nyie msiwapotoshe watanzania.

Mtapata tabu sana awamu hii ya tano wapiga madili hali yenu itazidi kuwa mbaya
we ndo kilaza kama hata hujui shrika la ATCL halikua chini ya rais meko alvyoingia akaon kuagiza scraper atapigamo akaamua kuliweka chini yake
 
Bora aifute ofisi ya CAG, wanalipwa mishahara bila kazi za kufanya! Awamu ya 5 ni upigaji tu!
Intarahamwe anajifanya mzalendo kwenye nchi isio yake. eti kagame ndio amenifundisha uongozi. Amekufundisha uongozi au upigaji?
 
Back
Top Bottom