Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

Soma vyema. Hiyo ni sehemu ya mchango wa Mbunge Silinde Bungeni wakati uliopita. Punguza kukurupuka na kuona umepata cha kukosoa. Jibu hoja: kwanini ukaguzi wa CAG haifanyiki ATCL na Tanroads?
Asante
 
Hazina amemuweka mpwa wake ,bunge amelitia chooni ,mahakama ametia chooni,CAG amepigwa stop kukagua ATCL ,
 
Hata kwenye migodi CAG amepigwa stop kwenda kukagua.cha kushangaza mbona awamu ya 4 ilikuwa ina kaguliwa tatizo ni nini kama siyo upigaji.
Awamu hii nadhan upigwaji umekua wa kiwango cha juu aisee af meko Anasema tutembee kifua mbele mabega nyuma...analeta ndege huku unga umepanda bei madaraja yanaondoka n.a. maji yaan hata kweny kilimo huyu jamaa hajagusa wakat 75%ndo shughuli ya watanzania
 
Nashindwa kuamini hivi inawezekanaje mfumo wa ubepari ukazalisha wazalendo wa Taifa
 
Tunapigwa sana jamani maamuzi magumu yafanyike bila kujali chama tuweke utaifa mbele.
Nalog off
 
Hao ndiyo wabunge tunao wahitaji hapa Tanzania maana wanakerekwa na mayumizi mabovu ya kodi zetu
Bashite anawaita wa upinzani mzigo hawana wanachokifanya hivi kweli?
 
Kiongozi msafi muadilifu uenda mambo kwa uwazi ili kuleta imani kwa anaowaongoza
 
Back
Top Bottom