Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

za leo wana MMU.
natafta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma
Swimming pool iwe ndani ya chumba au nje? Mana umesema wewe star hutaki kuonekana
 
za leo wana MMU.
natafta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma so staki picha zangu zisambazwe maana najua wadadaz lazima wanipige picha na wale ninaofahamiana nao
Nenda rose garden maji atakuletea mhudumu
 
Jenga kwako uweke hivyo vitu unavyovitaka! Msituchoshe...
 
Kwanza we sio star.... star ndo nn kwani kwan we mgeni hapa hujui viwanja au ndo umetoka juzi kijijini na jela zako za msimu umekuja kusumbua watu mjini... wakuja rudi bush...!!!
 
kwanza we sio star.... star ndo nn kwani kwan we mgeni hapa hujui viwanja au ndo umetoka juzi kijijini na jela zako za msimu umekuja kusumbua watu mjini... wakuja rudi bush...!!!
Punch zako za kigumu kinyama hata stamina hatii mguu mkuu
 
Kwa kweli jana demu wangu amefurahi sanaa nilivomtoa out.
 
Ulimpeleka wapi mkuu?..ulimpandisha kwenye ile Passo yako kali?
Naaam.
Tulitoka pale Mawasiliano haooo Mwenge, tukavuka, tukaenda Coca-Cola tukakunja kona haooo hadi pale wanapaita Mikocheni Plaza.

Tukaagiza wale kuku wa KFC na vichipsi viduchuu pamoja na juice kubwa ya 'Minute Maid'.

Tukala akaenjoy sana. Tumeondoka saa sita kasoro usiku nikamrudisha Mawasiliano.

Jumla nilichoma kama 28,000/=.

Nasubiri amalize UE nimtoe tena kiwanja kingine. Sijajua wapi. Kumbe wasichana wanapenda sehem nzuri nzuri, nilikua sijui.
 
[emoji23][emoji23]...Safi mkuu mapenzi hayajengwi kwa maneno maneno..ni good moments kama hizo.

Huyu mtoto unataka akimaliza shule hapo chuo umweke ndani sio?
 
[emoji23][emoji23]...Safi mkuu mapenzi hayajengwi kwa maneno maneno..ni good moments kama hizo.

Huyu mtoto unataka akimaliza shule hapo chuo umweke ndani sio?
Kabisa. Ni wale watoto wanavaa hijab. Hana mambo mengi. Anasema eti nisubiri amalize mitihani ndio tuongee masuala ya ndoa. Sasa hivi namchanganya.
 
Dar hapajakaa kiroho, nenda Zanzibar pale Verde Hotel ila sina hakika kama utapaweza, again acha utoto qhuma wewe,
 
Demu wangu anataka nikamuone Tabata. Sijajua Tabata kuna location nzuri ya wapendanao kupumzika? (wote hatutumii pombe)
 
Back
Top Bottom