Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

wapi wewe, mimi apart from my job ya sheria mimi pia ni mjasiria mali nafahamu vizuri hivo vitu, sio kila mama ntilie anaingiza pea nzuri, angalia sehemu alipo na wateja wanaochukua huduma kwake. sio siku nzima anaenda mtu 5 anapika sufuria moja useme anaingiza pesa kikweli hatab kama anafaidia itamchukua mda sana kufikia malengo yake lakini pia nin sehemu nzuri ya kuanzia, from zero to hero. huyo jamaa mwenye njaa atapata faraja kwa hawa watu wadogo wanaoanza
Kwanza jifunze kuandika anza na herufi kubwa kwa kila sentensi ndipo utuhubirie yatokanayo na uteja
 
hapana, tatizo usafi, we unataka uniambie niende vigesti vya ajabu vinavyonuka magodoro na wengine wamekunya kabisa huko sababu ule mchezo wa tiGO umetawala na nakuhakikishia nimetoka mbali sana, saivi na hitaji huduma za maana. ngoja nimalizie mjengo wangu kimara kwanza nianza kujimwaga ntakavo, mbwa mkali na mlinzi na gate moja ya nguvu na ukuta mzito sihitaji kelele
Mtu wa kutafuta faragha nzuri ni wakike, wewe sehemu nzuri ya kupumzika ni yeye.
 
Hahaaaa inamaana mtu ukifungua thread unatafutuwa cv yako ya nyumaa hahaaaa JF nomaaa
 
nenda sadan mkuu, pazuri sana mm nilikuwa kule nimeenjoy sana
 
Mkuu Big Fit juzi tu hapa ulikuwa unaomba kubadili kituo cha kazi kutoka Morogoro kuja Dar kwa sababu za kiafya. Three days leo unasaka mahali pa kustarehe. Anyway una haki ya kutumbua pesa zako utakavyo kwani ni zako na hakuna aliyekusaidia kuzisaka. Double Tree ukiomba Presidential suite hutajuta.
036a41aaebdcb04f8053d757b0462568.jpg
 
yaa, kuna tatizo linanisumbua la vumbi, atleast dar nkiwa na usafiri wangu itakua poa
 
Back
Top Bottom