Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

Wewe siyo superstar wala nini! Unazingua watu tu hapa. Rejea Uzi wako huu
nina degree ya sheria nabadilishana kituo chako
povu la nini khaa kwani wanasheria hawana mkwanja? we una akili fupi jipime kwanza ndo ujibu mada. ustar=mkwanja. hatuongei ila pesa inatupaisha, ukichanganya na biznes zang za kawaida na kwambia kama ungenifahamu ungeamini nachokisema,
 
Hahagaaaha! Jaribu kuwa mkweli tu. Acha kujisifia uongo.Naombeni ushauri nimekosa amani
 
Hivi uliwahi kuona MTU yenye hela inauliza eneo zuri la kula bata??
Unaagiza uangaliziwe eneo zuri na watu wako..ghafla unaenda!
Akienda hata Google Earth atapata huyu hata mwandiko anaonekana anavyoota mchana
 
Mkuu,nenda South beach,hutojutia! Kama unahitaji faragha zaidi,nenda Jangwani sea breeze. Kuna madago mengine ya maana ila uwe tayari kujilipua maana faragha haipo. Hizo sehemu mbili ni nzuri kwa sababu mchana utajificha ndani na kutoka usiku kuinjoi swimming pool and shit! Muda huo masela na wambeya wanakuwa hawapo.
Kama ni katikati ya mji,jaribu holiday in ya karibu na IFM. Wajuzi watakueleza machaguo mengine.
 
mkuu tulia, threads nyingne huwa nafungua kufurahisha watu ila hazina ukweli wowote.
nakwambia me sio muongo kwa walosoma na mimi kwanzi primary had vyuo,. na mitaa na popote mademu kwangu ni kero, hii hadi mijimama na vikongwe. mimi sitaki sema huwa nalazimisha tuu. ila mkuu fanya kunyamaza tuu.
Sawa Mkuu wangu. Usijali. Mimi nanyamaza. Nenda Double Tree by Hilton ipo pale Masaki. Ni nzuri Sana kaka. Hakika utafurahi.
 
Akienda hata Google Earth atapata huyu hata mwandiko anaonekana anavyoota mchana
huu mchezo hauhitaji hasira mkuu, jikubali yaishe huna kitu, utazid kugoga wanawake wa kambi ya fisi tuu waathirina na wanuka chupi
 
poa mdau, unajua mimio natafuna vitu certified, kwa usalama wa hali ya juu kwa sababu mimi ni master. nashukuru ngoja niyafanyie kazi hapo maeneo. ikishindikana ntaenda chi jiran za kenya na msumbiji sababu sipend paparazi kabisa
Kama ukmejiandaa vyema,nenda Lusaka au Livingstone Zambia,au Pemba. Lots of memories na umpendae zitatengenezwa huko.
 
sipend umbea na hakika ikipangwa mechi ya kuzimiwa na mademu huniwez, becausee .............
Mimi si saizi yako maana mie wanawake warembo huwa wananikimbia kwa vile ni sura mbaya na nimepigwa mhuri usoni unasomeka kuwa sina Hela ila mwenzangu ndoto za kiteja za mchana zinakusumbua
 
mkuu tulia, threads nyingne huwa nafungua kufurahisha watu ila hazina ukweli wowote.
nakwambia me sio muongo kwa walosoma na mimi kwanzi primary had vyuo,. na mitaa na popote mademu kwangu ni kero, hii hadi mijimama na vikongwe. mimi sitaki sema huwa nalazimisha tuu. ila mkuu fanya kunyamaza tuu.
Hahahaha. Hii nayo typically umefungua kufurahisha watu.
 
Back
Top Bottom