Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Swimming pool iwe ndani ya chumba au nje? Mana umesema wewe star hutaki kuonekanaza leo wana MMU.
natafta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma
Nenda rose garden maji atakuletea mhudumuza leo wana MMU.
natafta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu wanione sababu ni star mimi nafuatiliwa kinoma so staki picha zangu zisambazwe maana najua wadadaz lazima wanipige picha na wale ninaofahamiana nao
Unachekeshahaina noma niko tayari mradi nafsi yangu ipate haki yake
Kaumbuka mpuuzi huyuuWewe siyo superstar wala nini! Unazingua watu tu hapa. Rejea Uzi wako huu
nina degree ya sheria nabadilishana kituo chako
Punch zako za kigumu kinyama hata stamina hatii mguu mkuukwanza we sio star.... star ndo nn kwani kwan we mgeni hapa hujui viwanja au ndo umetoka juzi kijijini na jela zako za msimu umekuja kusumbua watu mjini... wakuja rudi bush...!!!
Ulimpeleka wapi mkuu?..ulimpandisha kwenye ile Passo yako kali?Kwa kweli jana demu wangu amefurahi sanaa nilivomtoa out.
Naaam.Ulimpeleka wapi mkuu?..ulimpandisha kwenye ile Passo yako kali?
[emoji23][emoji23]...Safi mkuu mapenzi hayajengwi kwa maneno maneno..ni good moments kama hizo.Naaam.
Tulitoka pale Mawasiliano haooo Mwenge, tukavuka, tukaenda Coca-Cola tukakunja kona haooo hadi pale wanapaita Mikocheni Plaza.
Tukaagiza wale kuku wa KFC na vichipsi viduchuu pamoja na juice kubwa ya 'Minute Maid'.
Tukala akaenjoy sana. Tumeondoka saa sita kasoro usiku nikamrudisha Mawasiliano.
Jumla nilichoma kama 28,000/=.
Nasubiri amalize UE nimtoe tena kiwanja kingine. Sijajua wapi. Kumbe wasichana wanapenda sehem nzuri nzuri, nilikua sijui.
Kabisa. Ni wale watoto wanavaa hijab. Hana mambo mengi. Anasema eti nisubiri amalize mitihani ndio tuongee masuala ya ndoa. Sasa hivi namchanganya.[emoji23][emoji23]...Safi mkuu mapenzi hayajengwi kwa maneno maneno..ni good moments kama hizo.
Huyu mtoto unataka akimaliza shule hapo chuo umweke ndani sio?