Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

Hakika humu wewe ndo umemjibu vyema.....

Wengi waropokaji.. hongera mkuu
 
Kwhy unaamini kabisa mtu hawezi kutoka na mpenzi wake kwa bajeti ya 100K.

Hivi unahisi dunia hii inajzungusha kwenye kichwa chako?
Kwamba maisha fulani ndio standard.
Tafta hela acha makasiriko na kusumbua watu. Unaambiwa sehemu za kwenda huko Tandale hutaki... hiyo laki hata nauli tu haitoshi. Au una bodaboda wako?
 
Hapana, masaki hapo hapo atapata affordable price. Aende kwa hawa niliomwambia kuna wide range selection ya around 30k View attachment 3181042View attachment 3181043unapata msosi wako poa kabisa. Ningeweza kuweka menu zaidi ila huo ni mfano
We na we bana.. hii nayo ni sehemu ya kumpeleka mpenzi kweli😃😃.. labda mpenzi jini... hiyo ni sehemu yetu sisi wapagazi wa kwa wazungu hapa Masaki... Ndio maana bei
yake ni ya chama kwa ajili yetu...
 
Kanunue mashamba utakuja kuuza kwa Bei nzuri baadae. Akutembelee kwako akiridhika na hali yako huyo ndio wako
 
We na we bana.. hii nayo ni sehemu ya kumpeleka mpenzi kweli😃😃.. labda mpenzi jini... hiyo ni sehemu yetu sisi wapagazi wa kwa wazungu hapa Masaki... Ndio maana bei
yake ni ya chama kwa ajili yetu...
Una shida ya uelewa ama? Mtu ana laki moja unataka nimshauri juu ya uwezo wake? Tuliza akili usome kwa umakini bajeti yake na matakwa yake
 
Labda mtoke nje mrudi ndani
 
Restaurant ya Kingjada hotel si ndiyo inaitwa Hawakitchen, au ni biashara tofauti kwenye eneo moja?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…