Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

Hapana mkuu nawasaidia wengine Kwa kuwapa experience niliyoipata kama nilivouliza swali kwenye heading ya Uzi huu. Hivyo Kwa kushiriki kuchangia experience yangu kutawasaidia wengine. Asante pia picha zote zimezingatia faragha yetu.
Nilikuwa natania Mkuu..uliowasaidia ni pamoja na Mimi.. ahsante sana
 
Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi?

Nipo na girlfriend wangu.
Morogoro bado bush sana, hakuna sehemu unayoweza kupata hizo huduma.
 
Iko maeneo gani hiyo Camp ya Nguzo
 
Nbona bill moja tu kibunda kinakata mkuu, subir kuku wa ndoo Luna urudi ugegede mzigo!!!
Nilienda mkuu,nikachukue kuku nusu. Kuku wakubwa na watamu si nikajikanyaga nikaweka pilipili nyingi(napenda sana pilipili) alooo kuku akazidi kua mtamu ila chamoti nimekiona.
 
Nilienda mkuu,nikachukue kuku nusu. Kuku wakubwa na watamu si nikajikanyaga nikaweka pilipili nyingi(napenda sana pilipili) alooo kuku akazidi kua mtamu ila chamoti nimekiona. View attachment 2368062
Mkuu usipende kula kuku broiler... Kula wa kienyeji tena wa kuchoma au nyama ya mbuzi ya kuchoma na ndizi ya kuchoma halafu ulete mrejesho..
 
Kuna sehem hapo karibia na stendi msavu bar kubwa hivi wanachoma kuku watamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…