BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Nilikuwa natania Mkuu..uliowasaidia ni pamoja na Mimi.. ahsante sanaHapana mkuu nawasaidia wengine Kwa kuwapa experience niliyoipata kama nilivouliza swali kwenye heading ya Uzi huu. Hivyo Kwa kushiriki kuchangia experience yangu kutawasaidia wengine. Asante pia picha zote zimezingatia faragha yetu.