Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

28October

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2020
Posts
285
Reaction score
364
Habarini ndugu zangu,

Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.

Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).

Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
 
Ni Kahumba Ukimwi Mochwari Hotel tu.
 
Nataka kujua hotel ya kulala nzuri na yenye vyakula vizuri sana.
 
Kusema kweli, utahangaika sana. Hata huko wanakosema, hautapapenda ukifika. Watu wa Morogoro watasema ni pazuri lakini km umezoea viwanja matata, utakuwa disappointed ukifika. Morogoro bado sana. Manage your expectations na jiandae kisaikolojia.

Nimeshangaa pia wanavyosema bar za moro ziko updated..duh...kweli exposure ni muhimu!
Moro bado mno mno!
 
Kusema kweli, utahangaika sana. Hata huko wanakosema, hautapapenda ukifika. Watu wa Morogoro watasema ni pazuri lakini km umezoea viwanja matata, utakuwa disappointed ukifika. Morogoro bado sana. Manage your expectations na jiandae kisaikolojia.
asante mkuu kwa taarifa, ni vipi kuhusu iyo cate hotel, nimeambiwa kuna (swimming, vyakula vizuri, live band, nk) je kuna ukweli wowote na gharama zake zipoje
 
Back
Top Bottom