Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Uwo odongo mwekundu ni changamoto hasa wakati wa mvua huku kwangu napoishi kola... Ni kuzuri mtaa upo cool ila mvua ikinyesha huwezi amini land Cruiser huwa inakosa pakupita!!! Kuna kipande kibaya kinoma ni kisehemu kidogo lakini kimeshawai nilaza nje gari ili nasa apo na gari ina four wheel lakini sikutoboa!! Ilibidi niache gari mpaka kumekauka ndo nikaja kuitoa... Kingine vumbi nyumba yangu ipo karibu na njiani na njia yenyewe niya vumbi imagine ilo vumbi jekundu kwenye ukuta wa fensi nyeupe... Ni balaa nakwambia ila moro napapenda sana
Kweli kwa hili nakubali mvua zikinyesha barabara nyingi za moro ni mtihani
 
Habarini ndugu zangu,

Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.

Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).

Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
nenda cate hotel au arc hotel hautojutia pesa yako

cate hotel ipo kingorwila
 
Back
Top Bottom