Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Dah....inasumbuaje hii changamoto? How?
Uwo odongo mwekundu ni changamoto hasa wakati wa mvua huku kwangu napoishi kola... Ni kuzuri mtaa upo cool ila mvua ikinyesha huwezi amini land Cruiser huwa inakosa pakupita!!! Kuna kipande kibaya kinoma ni kisehemu kidogo lakini kimeshawai nilaza nje gari ili nasa apo na gari ina four wheel lakini sikutoboa!! Ilibidi niache gari mpaka kumekauka ndo nikaja kuitoa... Kingine vumbi nyumba yangu ipo karibu na njiani na njia yenyewe niya vumbi imagine ilo vumbi jekundu kwenye ukuta wa fensi nyeupe... Ni balaa nakwambia ila moro napapenda sana
 
Ohh sawa....kule juu kola ukipita njia ya dragonaire kipindi cha mvua hua mtihani sisi huku kwetu haupo kivile ..au la mm siujali...naboreka kuna upepo mkali balaa!
Mimi sipapendi kwasababu hapachangamka..naishi tu sina jinsi
 
Unataka uchangamfu gani?
Wengine tunapenda sehemu tulivu zaidi
Sio huo unaosemea....namanisha hapajachangamka kibiashara..tunatumia nguvu sana na kujiongeza kwingi!mm too naishi sehemu tulivu..ila kumedoda kibiashara ..mzunguko hakuna wa hela ..
 
Si ndo sababu kunaitwa forest mkuu!! Bei juu kule kwasababu ya mazingira tulivu, lami mpaka mlangoni, karibu na town, maji 24/7 na ile hali ya miti miti mingi ndo inafanya forest iwe juu
Forest lami hadi mlangoni? Forest ya wapi hiyo? Lami inatokea wapi na kuishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohh sawa....kule juu kola ukipita njia ya dragonaire kipindi cha mvua hua mtihani sisi huku kwetu haupo kivile ..au la mm siujali...naboreka kuna upepo mkali balaa!
Mimi sipapendi kwasababu hapachangamka..naishi tu sina jinsi
Hahahahah Tena mtaa wako itakuwa una vumbi jekundu lile la damu .

Ila Moro daah kwa vumbi si mchezo .

Watu wengi wa Moro ngozi zimefubaa hazina nuru sababu ya vumbi .

Maji ya Moro daaah sio Kama ya dar au tanga huko ngozi inang'aa hata Kama mweusi Ila Moro utafubaa Hadi ukomee[emoji1787]

Ila huu ukitoa vumbi na shida ya maji Kuna maeneo mazuri Sana kuishi
 
Area yetu hakuna hilo dongo ...kuna mchanga zaidi....kama ule wa mvua ..mm hata sijawah kereka kwakweli nyie kule ni jekundu sana
 
Habarini ndugu zangu,

Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.

Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).

Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
Matombo au Kiloka
 
Area yetu hakuna hilo dongo ...kuna mchanga zaidi....kama ule wa mvua ..mm hata sijawah kereka kwakweli nyie kule ni jekundu sana
Hata pale kwetu hakuna hili dongo.

Ila nachelea kusema ningekua mkuu wa mkoa ningepiga marufuku kama bashitw kujenga na vile vimatofali vyao[emoji23]

Yaan nyumba inachakaa balaa na dongo jekundu. Vitofali vinaanza kupukutika udongo nyumba inakua chafuuu... sijapenda kwa kweli... ile milima milima ukashusha mjengo wako na mandhari na hali ya hewa daah[emoji119]
 
Bwana wewe udongo upi unaopukutika? Hah au unasemea nyumba za manzese huko😜..town zile nyumba za wakulungwa ndo michosho balaa..mfano pale GM...majirani kuna tembe..very boring! Yes moro mazingira yanavutia mno..maua bei cheap ushindwe wewe tu kutengeneza garden..karibu moro😊
 
Bwana wewe udongo upi unaopukutika? Hah au unasemea nyumba za manzese huko[emoji12]..town zile nyumba za wakulungwa ndo michosho balaa..mfano pale GM...majirani kuna tembe..very boring! Yes moro mazingira yanavutia mno..maua bei cheap ushindwe wewe tu kutengeneza garden..karibu moro[emoji4]
Si wa vitofali ulivyojengea[emoji23][emoji23] ndo majority ya hizo nyumba huko... unashangaa gafula bin vuu nyumba imeanza kuwa nyekundu wakati ulipiga plasta na rangi ya njano juu.

Aah kwa mazingira tu? Angalau hata miye muoga wa baridi kidogo naimudu. Yaan nzuri sana. Huko unaotesha maua mpk uchanganyikiwe. Galaf na tumifugo twako tuwili tutatu upate mbolea ya bustani zako na migomba kama kawa
 
Ntapiga pic unioneshe 😀😀!dah ....haya bwana! Huku vyuku unafuga tu mwenyewe unakula tu..sio..nyie huko kuku ni anasa labda mle bloiler...maziwa 1000lr, asali ipoo,matunda cheap, sema..mfukoni tuko wakavu😅
 
Ntapiga pic unioneshe [emoji3][emoji3]!dah ....haya bwana! Huku vyuku unafuga tu mwenyewe unakula tu..sio..nyie huko kuku ni anasa labda mle bloiler...maziwa 1000lr, asali ipoo,matunda cheap, sema..mfukoni tuko wakavu[emoji28]
Hahahaha vyuku tunaagizaga huko mikoaz le maswekeni u know? Patamu sana morooo.. ni nyumba chache sana bana hazina red tags[emoji23][emoji23]
 
Ohh sawa....kule juu kola ukipita njia ya dragonaire kipindi cha mvua hua mtihani sisi huku kwetu haupo kivile ..au la mm siujali...naboreka kuna upepo mkali balaa!
Mimi sipapendi kwasababu hapachangamka..naishi tu sina jinsi
Hivo hapo dragonaires pako vizuri kulala? au ni msosi tu
 
Msos classy ni Tengoz..njia ya kwenda stesheni! safi kbs chakula chao ..!yaani hata kufanya evening walk mkaenda kula hapo pako poa sana!
Au nashera wana msos classy n taste
MaChimbo mengine unakutana na walugur wamepaka wanja kama wanataka kupaa!
Pa mwisho kbs Dragonaire Njia ya kwenda bigwa everythn on point! Huku hutukuti wapaka wanja wa piko😀
Wewe unaishi morogoro maana unavyoichambua ni mwenyeji Ila unataka uonekane Kama IT iko on transit.
 
Back
Top Bottom