Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Njoo kihonda Kilimanjaro we dada huku ukae karibu na SGR Kuna apartment zinajengwa za kushato Sana tuWoow, atleast. Siyo kijiwe unakuta wanachuo wamejazana mpk kero..
Ilaaa wangaaa, nina plan hapa, nyumba yangu jamani nitaweka recreations hizo kiasi kwamba popote napopata stress niqaze kukimbilia nyumbani. Yaan nataka nijenge sehem ya kama hekari 3 hivi.. ikibidi hata 4 wallah. Yaani... naweka boonge la garden, swimming, bustan za mbogaaa yaani zinapangiliwa, naweka sehem ya basketball, karoom mfano wa club, tena top roof juu open space na chini ambapo najaza na screens kwaajili ya mpira yaan matches, nje kwenye garden naweka kama bar hivi. Yaan garden counter... achaa kabisaaa.... sasa nikifa nizikwe hapohapo usia wangu ninemalizaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui moshi sijui nn hapana. Nizikwe hukuhuku porini dethilam
Tatizo la huku maji tu yako kwa machale [emoji1]
Kuna kabaridi Fulani hivi mitaa imepangwa Safi kabisa .