lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,908
- 5,513
Huwa mnafikia Moro ya uswekeni. Karibu huku forest hill au Lit.Hahaha yes.. kama uko kifamilia yaani pazuri mno...
Halaf naona happ terminal pub sijui bar wamefanya renovation kubwa sana. Pia ni pakubwaa.
Kiukweli kabisa sipendi kelele... sipendi kbs. Unakuta sehem jina linapaishwa balaa ila ukienda pachafuuu... vishoiaaa. Pooh mbakaa...
Kuna muda najiuliza huwa mukiwa munasafiri hiyo via moro road sehem za kula zikoje hasa usafi..
Kinachoniudhi zaidi moro ni hayo matofali wanayojengea nyumba zao[emoji23][emoji23] yaan baada ya muda nyumba zinakua mbayaaa zimejaa mavumbi ya udongo wa tofali tupu. Tafadhalini sana tunaomba mbadilike.
Kuna maeneo Bigwa yako poa saaana.
Hata mtu akitaka kuishi nenda kaishi Forest Hill mliman kabisa huko. Asubuhi snow