Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Raha ya Moro uwe na gari utaenjoy! Kuna sehemu inaitwa Lugono wanachoma mbuzi kule karibu na bwawa la Mindu siku hzi wamezuia samak zao...sema kuna machimbo kwa wanaume wakware balaa yako huko forest! Unaweza hisi umepak gari room kbs😆!

We Wangari nitaomba unitembeze Moro siku nikizipata...
 
Yaan unaona kbs kila mtu anaclassy zake za bata aise..bora uende kule juu forest! Moro bata bado kwakweli!hata hao mademu wanaowasema wengi wako 1st yr nadhan madem wa 1stbyr unawajua mapigo yao..unamuona kbs huyu katoka Malinyi kaja SUA 1st yr!

Hahaha uko sahihi aisee. Kila mtu na tastes na level zake aisee. Hatuwezi fanana..

Kwa mimi ninayependa utulivu angalau hapo cate hotels pana hadhi.. huku kungine mashenzini tu. Wengine wanadangia hadi bia. Mashoga humohumo. Nani anataka
 
Heeeh wee dea usnambie pale pamefikia hatua hiyo.
Ila inategemea unataka vibe gan... ..pamepoaaa...hapana maajabu! Sehemu yenye masista,wakaka fulani😜 classy ukweli ni Don hapa near samaki samaki...yaan pale unajikuta uko katikati ya changamoto😀😀! Wakaka classy na wadada classy wako pale!
Good music...yaan ni kijiwe cha wakaka kuanzia 30_50yrs tena classy!so kuna mziki wa age zetu uko pale...!
 
Hahaha uko sahihi aisee. Kila mtu na tastes na level zake aisee. Hatuwezi fanana..

Kwa mimi ninayependa utulivu angalau hapo cate hotels pana hadhi.. huku kungine mashenzini tu. Wengine wanadangia hadi bia. Mashoga humohumo. Nani anataka
Tena bia zenyewe serenget lite 2000🙂!
 
Back
Top Bottom