Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Nimekuelewapo, karibu sana nkamu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ila picha ni za last week, nimezifanyia makaratee ndiyo maana tarehe imesoma ya leo
Aisee!!

Linga isiku limo angwisapo ku Morogoro, nghuja pa kukulonda (nimeandika lugha yenu broken lakini najua utanielewa [emoji4])

Maana naona tupicha ni twa isala isi (lululu)...
 
Ukitaka kuenjoy mbuzi wa kuchoma ni uhuru park kwakweli wana mbuzi wanamchoma anatokea rangi ya gold hatari tupu..lakini sio bar ya kukaa unywe uenjoy..kwanza jiko liko jiran na viti bas joto lote unaliskia wewe!
Kwa mbuzi niliwavulia kofia...
Pamezubaa mno ndo maana tunashindaga ndani tu..
Vipi kuhusu mzunguko wa pesa, naamanisha kufanya biashara morogoro mjini
 
Vipi kuhusu mzunguko wa pesa, naamanisha kufanya biashara morogoro mjini

Moro kashangae kidogo then ondoka, biashara nenda maeneo haya ifakara, mbinga, masasi, mwanza, katoro, igunga, manyoni, kahama, karatu , Babati, lamadi, tunduma, sirari, kwa haraka lakini uwe mjanja akilini usome game wengine wanatoboaje ukienda kichwa kichwa unatapeliwa mchana kweupe mtaji wote unarudi kwenu na pensi yako ya simba bila viatu
 
Wacha waenjoy ujana wanachuo teh. Kuna siku niliingia pale Suzzy Restaurant (NSSF), sijui ndiyo ndugu zako walikuwa wamemaliza pepa, walikuwa wengi wanabebishana wenyewe, hawana habari
😀😀😀 hatari sana...! Yes tunawaachaga wale bata lao!
 
Hapana ni picha za current, camera tu ndiyo haina ubora. Unaendaga kugonga beer kule daily? Ile njia ya mawemawe inanikataga vibe kidogo.
Nashukuru kwa picha ila naona niza muda kidogo now kupo cool sana na ile kijani imekolea kweli kweli... Ni sehemu yangu nzuri yakupata bia jioni
 
Back
Top Bottom