Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Nimeshangaa pia wanavyosema bar za moro ziko updated..duh...kweli exposure ni muhimu!
Moro bado mno mno!
Hahahahah we unataka Nini Cha ziada kwenye bar [emoji1787]

We Ni mwanamke au mwanaume tuanze hapo kwanza .

Kila.jinsia Ina taste yake .

Exposure gani unayoizungumzia ya kwenda mamtoni au huko kwa Wana apolo[emoji1]
 
Habarini ndugu zangu,

Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.

Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).

Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
Cate Hotel ipo Kingolwira, ukitokea Dar ni kijiji cha kwanza au pili baada ya kupita mizani ya Mikese! Mazingira na vyumba vyake ni vizuri ila upande wa misosi sio bora sana! Kama hupendi vurugu za mjini pana kufaa! Ila ule mji bado sana upande wa maeneo ya kujidai!
 
Lile dongo jekundu pia ni tatizo
 
Habarini ndugu zangu,

Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.

Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).

Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
CATE ipo mbali mkuu na kama unataka viburudisho vingine tafuta guest za Msamvu ila hala hala usije ukabaki tu na kyupi
 
Yaani kuna mtu ametaja mpaka uhuru park[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Morogoro bado sanaaa... yaan ukiambiwa tu hapa ndo center utashangaa..

Licha ya kuwa ndo katikati kabisa ya barabara kubwa zaidi ya kimataida inaunganisha mikoa mingi sana na nchi za jirani ila ni pa hovyo sanaa. Pamezubaa kama penzi la mkamba[emoji23][emoji23]
 
Mbona umepotea kule....
 
Huyo akishakuta makange ya kuku na foil ya mbuzi akiona na malaya wenye misambwanda tayari ndio bata zake, mtu bar hazina hata ICE utulivu zero bado wanataka tuzisifu hapana
Mtu unakaa bar jua la alasiri lote linakumalizikia wewe...! Ndo useme kuna bata?hata night club Moro hakuna...mnajikuta ni wale wale uliyemwacha samaki samaki anahamia starpark..nakataa kbs kuwa Moro kuna bata na vijiwe classy
 
Back
Top Bottom