Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Moro kashangae kidogo then ondoka, biashara nenda maeneo haya ifakara, mbinga, masasi, mwanza, katoro, igunga, manyoni, kahama, karatu , Babati, lamadi, tunduma, sirari, kwa haraka lakini uwe mjanja akilini usome game wengine wanatoboaje ukienda kichwa kichwa unatapeliwa mchana kweupe mtaji wote unarudi kwenu na pensi yako ya simba bila viatu
Moro kama una mtaji mzuri fungua microfinance ! Tafuta connection na walimu,manesi,ma Dk! Eti uje uuze mikoba sijui ya laki sijui nguo za laki 3 utadoda! .
Na hardware na mbao naona wanafanya vyema!
Masuala ya kuuza mchele kila nyumba ana ndugu ifakara😒!
 
Mji wowote ambao chakula kiko kingi hakunaga mzunguko...
Au mji ambao uko karibu na jiji bas hakunaga hela...angalia shy,moro tabora imepoa haina hela..!
Haina pesa kivipi mkuu? Na mimi naishi moro nafanya biashara na pesa naingiza yakutosha.... Fursa yakuwekeza morogoro ni rahisi sana wewe kufahamika tofauti na mji kama dar... Yani hapa moro ukiwa mtulivu na ukabuni biashara nzuri unatoka na mzunguko upo mkuu
 
Haina pesa kivipi mkuu? Na mimi naishi moro nafanya biashara na pesa naingiza yakutosha.... Fursa yakuwekeza morogoro ni rahisi sana wewe kufahamika tofauti na mji kama dar... Yani hapa moro ukiwa mtulivu na ukabuni biashara nzuri unatoka na mzunguko upo mkuu
Ohhh sawa sawa mkuu!
 
Morogoro ukitaka ufaidi tulia kwenye lodge zilizo nje ya mji, ukipata muda unaenda nje ya mji kutembea Mgeta Kibaoni,Matombo, Doma kupiga nyama choma na jioni unapita maeneo ya live band Savoy, Break Point na Samaki samaki.
Raha ya Moro uwe na gari utaenjoy! Kuna sehemu inaitwa Lugono wanachoma mbuzi kule karibu na bwawa la Mindu siku hzi wamezuia samak zao...sema kuna machimbo kwa wanaume wakware balaa yako huko forest! Unaweza hisi umepak gari room kbs😆!
 
Hukuiqoute...hapana mie mswahili balaa...sina classy mkuu! Sema sitaki company za ajabu ajabu! Hakuna watu bahili kama wamama wa moro😜! So najipinduaga alone
Duh kweli nimeona siku-quote comment yako but i think uko hivyo, ila yote kwa yote you are classy woman. I wish nikuone kwa jicho langu ili nithibitishe ninavyokuchukulia.

Waswahili ni kama mimi comments zangu tu humu jukwaani zinareflect.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom