Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

[emoji23][emoji23] bado na mipaka ikuangalie vibaya. Hata sitaki.mimi. moro pachafu bana...

Moro ibaki kuwa mkoa wa kilimo na basi.. hata mikumi yenyewe mbayaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222]
Sema Moro kama uko kikazi na familia yako pazuri..mambo cheap! Maisha cheap sana!
Hahaha eti Paka wakuangalie vibaya🤣🤣!
Mimi sipapend pamezubaa ...hakuna amsha amsha za hela! Alafu majority bado wakuja balaa full roho za korosho!
Moro huwez jichetua uvae viaguni fulani...watakushangaa had ukose uthubutu😀
Ila tunapachangamsha tu kibishi!
 
Ila inategemea unataka vibe gan... ..pamepoaaa...hapana maajabu! Sehemu yenye masista,wakaka fulani[emoji12] classy ukweli ni Don hapa near samaki samaki...yaan pale unajikuta uko katikati ya changamoto[emoji3][emoji3]! Wakaka classy na wadada classy wako pale!
Good music...yaan ni kijiwe cha wakaka kuanzia 30_50yrs tena classy!so kuna mziki wa age zetu uko pale...!
Sema mie sehemu hizo za starehe, sipendelei.
 
asante mkuu kwa taarifa, ni vipi kuhusu iyo cate hotel, nimeambiwa kuna (swimming, vyakula vizuri, live band, nk) je kuna ukweli wowote na gharama zake zipoje
Cate kuogelea 7000,msos unabbei 2 .kule lounge una gharama zake .huku nje yanakopak mabus ya abiria ndo 7000! So km mfuko mbovu usiende loungr tena wakikuona mgen wanakuongoza lounge!
 
Kama starehe yako ni papuchi sawa zipo za kutosha


Ila hakuna bata lolote mkoa umepooza kama miguu ya mzee wa miaka 80


Ila maisha cheap sana nauaminia kwa hilo ila mitaa ya Chamwino na soko lake lilinisaidia ku survive miaka mitatu pale sua maisha yangu hayakuwa magumu vyakula vya kutosha na bei rafiki na ukichanganya boom la serekali mambo safi


Napakumbuka Morogoro night kule mtoni ,downtown,zebra bar ila pakichoko kote huko
 
Sema Moro kama uko kikazi na familia yako pazuri..mambo cheap! Maisha cheap sana!
Hahaha eti Paka wakuangalie vibaya[emoji1787][emoji1787]!
Mimi sipapend pamezubaa ...hakuna amsha amsha za hela! Alafu majority bado wakuja balaa full roho za korosho!
Moro huwez jichetua uvae viaguni fulani...watakushangaa had ukose uthubutu[emoji3]
Ila tunapachangamsha tu kibishi!
Hahaha yes.. kama uko kifamilia yaani pazuri mno...

Halaf naona happ terminal pub sijui bar wamefanya renovation kubwa sana. Pia ni pakubwaa.

Kiukweli kabisa sipendi kelele... sipendi kbs. Unakuta sehem jina linapaishwa balaa ila ukienda pachafuuu... vishoiaaa. Pooh mbakaa...

Kuna muda najiuliza huwa mukiwa munasafiri hiyo via moro road sehem za kula zikoje hasa usafi..

Kinachoniudhi zaidi moro ni hayo matofali wanayojengea nyumba zao[emoji23][emoji23] yaan baada ya muda nyumba zinakua mbayaaa zimejaa mavumbi ya udongo wa tofali tupu. Tafadhalini sana tunaomba mbadilike.
 
asante mkuu kwa taarifa, ni vipi kuhusu iyo cate hotel, nimeambiwa kuna (swimming, vyakula vizuri, live band, nk) je kuna ukweli wowote na gharama zake zipoje
Hiyo ya mmiliki wa mabasi ya ABC iko njiani kulia km chache kabla ya morogoro kama huna laki ya chumba ...
 
Hahaha yes.. kama uko kifamilia yaani pazuri mno...

Halaf naona happ terminal pub sijui bar wamefanya renovation kubwa sana. Pia ni pakubwaa.

Kiukweli kabisa sipendi kelele... sipendi kbs. Unakuta sehem jina linapaishwa balaa ila ukienda pachafuuu... vishoiaaa. Pooh mbakaa...

Kuna muda najiuliza huwa mukiwa munasafiri hiyo via moro road sehem za kula zikoje hasa usafi..

Kinachoniudhi zaidi moro ni hayo matofali wanayojengea nyumba zao[emoji23][emoji23] yaan baada ya muda nyumba zinakua mbayaaa zimejaa mavumbi ya udongo wa tofali tupu. Tafadhalini sana tunaomba mbadilike.


Hahhahaaa Moro kuna sehemu za kishua dogo tafadhari ujue...! Yes terminal amepamodify ameweka counter nyingine nzuri sana..ila usk wasukuma wanaoenda Mwanza wanajaaga mle wanaulizia soda tu...mm na bendi sijui y sipendi..sipend kbs bend...mm ni mpenzi sana wa karaoke🤣🤣! Napenda muziki mzuri as napenda sana kuimba na kucheza!
Ni kama florida wanawekaga mamizik ya Jazz band za miaka ya 80! Dj wa ovyo sana kama katoka mtimbila huko..dj mzuri wa samak samak unaweza shtuka saa12 hii hapa asbh!
Tutajirekebisha kama waluguru wataamua kuuza maeneo ya mjini wakajenge kipera huko
 
Ila inategemea unataka vibe gan... ..pamepoaaa...hapana maajabu! Sehemu yenye masista,wakaka fulani[emoji12] classy ukweli ni Don hapa near samaki samaki...yaan pale unajikuta uko katikati ya changamoto[emoji3][emoji3]! Wakaka classy na wadada classy wako pale!
Good music...yaan ni kijiwe cha wakaka kuanzia 30_50yrs tena classy!so kuna mziki wa age zetu uko pale...!
Woow, atleast. Siyo kijiwe unakuta wanachuo wamejazana mpk kero..

Ilaaa wangaaa, nina plan hapa, nyumba yangu jamani nitaweka recreations hizo kiasi kwamba popote napopata stress niqaze kukimbilia nyumbani. Yaan nataka nijenge sehem ya kama hekari 3 hivi.. ikibidi hata 4 wallah. Yaani... naweka boonge la garden, swimming, bustan za mbogaaa yaani zinapangiliwa, naweka sehem ya basketball, karoom mfano wa club, tena top roof juu open space na chini ambapo najaza na screens kwaajili ya mpira yaan matches, nje kwenye garden naweka kama bar hivi. Yaan garden counter... achaa kabisaaa.... sasa nikifa nizikwe hapohapo usia wangu ninemalizaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui moshi sijui nn hapana. Nizikwe hukuhuku porini dethilam
 
Back
Top Bottom