Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Ilikufa...imekuja la chaaz..hana 8mths atafungaHivi pale Viber bado kupo?
Ilikufa...imekuja la chaaz..hana 8mths atafungaHivi pale Viber bado kupo?
FlomiNataka kujua hotel ya kulala nzuri na yenye vyakula vizuri sana.
Yes. Forest pana utulivu. Na hali ya hewa ni nzuri kabisa. Haiboi. Haikutoi jasho. Ila hizo bei za maeneo sasa ndo nimepashindwa kwa sasaKuna area ni low density utapakubali .huko forest nw hakukamatik kwa bei za ! All in all moro hali ya hewa ni nzuri kuishi ..
Ngumu sana kwanza hata kupataYes. Forest pana utulivu. Na hali ya hewa ni nzuri kabisa. Haiboi. Haikutoi jasho. Ila hizo bei za maeneo sasa ndo nimepashindwa kwa sasa
Hivi tatizo ni nn?Ilikufa...imekuja la chaaz..hana 8mths atafunga
Yes... kuna hii mitaa pia kama kwa mzungu kwenye milima watu wana maeneo makubwa na majumba yamekua magofu tayari ila hawataki kuuza.Ngumu sana kwanza hata kupata
Unabebembea mkononi una glass ya jergermeifter..ukitoka hapo unaingia pool kutoa nux[emoji39]
Story za wasukuma unanikumbusha maskani yangu miaka ya 2014 pale karibu na gereji ya BM. Usiku walikuwa wanapigwa Sana pesa wakikosa vyumba Guest walikuwa wanapelekwa Kule Mtawala au Mazimbu.Hahhahaaa Moro kuna sehemu za kishua dogo tafadhari ujue...! Yes terminal amepamodify ameweka counter nyingine nzuri sana..ila usk wasukuma wanaoenda Mwanza wanajaaga mle wanaulizia soda tu...mm na bendi sijui y sipendi..sipend kbs bend...mm ni mpenzi sana wa karaoke🤣🤣! Napenda muziki mzuri as napenda sana kuimba na kucheza!
Ni kama florida wanawekaga mamizik ya Jazz band za miaka ya 80! Dj wa ovyo sana kama katoka mtimbila huko..dj mzuri wa samak samak unaweza shtuka saa12 hii hapa asbh!
Tutajirekebisha kama waluguru wataamua kuuza maeneo ya mjini wakajenge kipera huko
Si ndo sababu kunaitwa forest mkuu!! Bei juu kule kwasababu ya mazingira tulivu, lami mpaka mlangoni, karibu na town, maji 24/7 na ile hali ya miti miti mingi ndo inafanya forest iwe juuNapapata forest mkuu... napapata ipasavyo. Ni kweli kabisa pametulia.
Ila bei za maeneo haziendani kbs
Yes .kule kuzuri sanaYes... kuna hii mitaa pia kama kwa mzungu kwenye milima watu wana maeneo makubwa na majumba yamekua magofu tayari ila hawataki kuuza.
Ni sehem nzuri pia kwa mtu anayestaafu kujenga kule
Nanukuu "...ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili"Nenda Mazimbu, kuna totoz kali za SUA, utasuuza mpaka uchoke, hawana gharama kabisa
na-admit nilisoma heading tuNanukuu "...ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili"
😀😀😀Nyau wewe umeniamulia leo[emoji38][emoji38]
Tulikuwa tu na issue yetu nyingine pale, nikaenda kuulizia bei za vyumba ili next time nirudi kulala sasa.[emoji6][emoji6][emoji6]
Flomi msos mbaya balaaFlomi
Ok msalimie shemIlikuwa asubuhi, watu ndiyo wanajiandaa kutoka vyumbani, so sikuweza kuingia kuangalia aina zao za vyumba
Ok msalimie shem
Asante Sana Mkuu.Unafaa kuwa Kamati ya mapokezi[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitoka Msamvu Stand Utakwenda Hadi Sehemu Inaitwa Junior Seminar, Mbele Kidogo Utakuta Ujenzi Wa Daraja La SGR Ukitoka Hapo Utatembea Kidogo Kushoto Baada Ya Secondary Utaiona
Ukitokea Dar es Salaam Ukifika Kingolwira Baada Ya Mtelemko Ukivuka Daraja Upande Wa Kulia Utaona Cate Hotel Ni Sehemu Nzuri Sana
Unaweza Kula Cash Yako Taratibu
NDIYO Ukweli WenyeweKuna area ni low density utapakubali .huko forest nw hakukamatik kwa bei za ! All in all moro hali ya hewa ni nzuri kuishi ..
😆😅😄😃😂😁😀😉😃😄Asante Sana Mkuu.Unafaa kuwa Kamati ya mapokezi[emoji23][emoji23][emoji23]