asante kwa mchanganuo mzuri mkuu, vipi kuhusu biashara za mitaji isiyozid mil 1.5Fursa za hapa mkuu ambazo mimi huwa naziona na hazihitaji mtaji mkubwa... Ukiweza fungua duka la maana la cheni hereni vibanio vya nguo na vywele vile vya chuma classic... Duka kubwa niamini utatoboa hii ni kwaajili ya wadada... Fungua duka la chupi za kike, braa, boxa OG kutoka uganda cotton utanishukuru baadae... Fungua duka uwe unauza kucha za kubandika za kike na rangi zao zile ziwe OG, Biashara kubwa migahawa ya maana ya misosi moro hakuna, club hakuna, kumbi za sherehe ni chache, upande wa chakula kuja na wazo la kibunifu mfano kuku choma upate location nzuri, iwe ni kuku choma, biriani na juice! Fursa nyingine kitimoto hakuna sehemu classic yakula pork moro sehemu za hovyo hovyo kuja na wazo zuri sehemu safi classic kuna parking yakutosha hutojutia mzee kitimoto zote ziwepo choma,Rost,kavu.... Mimi kwa time nimeishi hapa hizi ni fursa naziona na mtu akija kufanya atatoboa naishi moro mwaka wa5 huu ila ni sehemu naiyona kwa uwekezaji na fursa nyingi mzee... Changamka na wewe kujulikana na biashara ni chap tu wadau tupo
Njoo tuyajengeOya hiyo ID yako ya skeleton naipataje? Napenda inavyo densi densi
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Unaiongelea machakos ya kenya?,huwezi ilinganisha na moro machakos pako poa mara 10 ya moroUko vizuri,lkn naona una kaushamba Fulani hivi.unaijua au unaisikia moro?unailinganisha na kwenu machakos wanakovamia alshabab kila siku???moro is best,tuache.nasheera umeingia wewe??
Hivi ilikuwa ni maeneo gani Mkuu??Naweka Msisitizo
Msisahau Kiwanja Alicholala Adam Malima Akaibiwa SMG Ikiwa Full Magazine
Morogoro Haa[emoji38][emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]
Serikali Ikatuliza Upepo
Moro panaharibiwa na lile dongo jekundu hasa kiangazi na masikaSi ndo sababu kunaitwa forest mkuu!! Bei juu kule kwasababu ya mazingira tulivu, lami mpaka mlangoni, karibu na town, maji 24/7 na ile hali ya miti miti mingi ndo inafanya forest iwe juu
Iko mitaa ganiMsamvu hapo Dodoma roadView attachment 1821834
NasheraHivi ilikuwa ni maeneo gani Mkuu??
Huo udongo haujawah kuwa kero...ila sijui..moro wenyeji wamehodhi bado maeneo ya mjini na hawatak kuachia...so hapa mjini hapana hata mvuto..unakuta ghorofa pemben nyumba ya tembeMoro panaharibiwa na lile dongo jekundu hasa kiangazi na masika
Hahaaa magoroto forest iko tanga mzee wilaya ya muhezaNa kule magoroto pakoje?? Wangari Maathai
Labda kama umeuzoea ila udongo mwekundu unaboa sanaHuo udongo haujawah kuwa kero...ila sijui..moro wenyeji wamehodhi bado maeneo ya mjini na hawatak kuachia...so hapa mjini hapana hata mvuto..unakuta ghorofa pemben nyumba ya tembe
Kha!kha!,napafahamu hapo.Nashera
Hahaha imeisha hiyo! Ajipange tena na imekula kwake...Dah..kwakweli mnipe definition ya watoto wakali....lachaaz hata wazee hawawez kaa .panaboa .ameanza na mguu mbaya balaa
Mzee wangu Severine Ngalo naona anazidi kupasua anga.Cate hotel nzuri, chumba cha kawaida 120,000/-. Google utaona picha.
Unacheka nawee eti lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli,Na muda ninaoo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa mitaa ya karume karibu na DON TOWN.Huo udongo haujawah kuwa kero...ila sijui..moro wenyeji wamehodhi bado maeneo ya mjini na hawatak kuachia...so hapa mjini hapana hata mvuto..unakuta ghorofa pemben nyumba ya tembe
Moro panaharibiwa na lile dongo jekundu hasa kiangazi na masika