Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
MkuuHivi ilikuwa ni maeneo gani Mkuu??
Acha Kuna Mengi Sana ๐๐ ๐๐๐๐
MkuuHivi ilikuwa ni maeneo gani Mkuu??
Ewaaa...wanaudhi balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa mitaa ya karume karibu na DON TOWN.
Yaan unaona kbs kila mtu anaclassy zake za bata aise..bora uende kule juu forest! Moro bata bado kwakweli!hata hao mademu wanaowasema wengi wako 1st yr nadhan madem wa 1stbyr unawajua mapigo yao..unamuona kbs huyu katoka Malinyi kaja SUA 1st yr
Mji wowote ambao chakula kiko kingi hakunaga mzunguko...
Au mji ambao uko karibu na jiji bas hakunaga hela...angalia shy,moro tabora imepoa haina hela..!
Haya wanojua viwanja vya kula bata chalinze watiririkeMji wowote ambao chakula kiko kingi hakunaga mzunguko...
Au mji ambao uko karibu na jiji bas hakunaga hela...angalia shy,moro tabora imepoa haina hela..!
ukishalewa panakua hapajazubaa si unakua umewakaUkitaka kuenjoy mbuzi wa kuchoma ni uhuru park kwakweli wana mbuzi wanamchoma anatokea rangi ya gold hatari tupu..lakini sio bar ya kukaa unywe uenjoy..kwanza jiko liko jiran na viti bas joto lote unaliskia wewe!
Kwa mbuzi niliwavulia kofia...
Pamezubaa mno ndo maana tunashindaga ndani tu..
Nenda jimboni kwa Babu Tallehbei ya chumba imechangamka kumbe aisee
Yaani ww hujawahi kuwa serious ..alwys unanichekeshagaNenda jimboni kwa Babu Talleh
Pale hata ww hutapaelewaukishalewa panakua hapajazubaa si unakua umewaka
Dah!!!,Wana Moro walimwingiza mzee mjini.Mkuu
Acha Kuna Mengi Sana [emoji38][emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16]
Tatizo ni expectations zenuHahaha yes.. kama uko kifamilia yaani pazuri mno...
Halaf naona happ terminal pub sijui bar wamefanya renovation kubwa sana. Pia ni pakubwaa.
Kiukweli kabisa sipendi kelele... sipendi kbs. Unakuta sehem jina linapaishwa balaa ila ukienda pachafuuu... vishoiaaa. Pooh mbakaa...
Kuna muda najiuliza huwa mukiwa munasafiri hiyo via moro road sehem za kula zikoje hasa usafi..
Kinachoniudhi zaidi moro ni hayo matofali wanayojengea nyumba zao[emoji23][emoji23] yaan baada ya muda nyumba zinakua mbayaaa zimejaa mavumbi ya udongo wa tofali tupu. Tafadhalini sana tunaomba mbadilike.
Sasa Kama unatumia abbreviation sasa Mimi nitajuaje au unatumia terms za huko nyumba kwako Mimi nitajuaBasi ww kilimanjaro huijui...umeandika tu uonekane umeandika..lol
We mluguru tuliaa[emoji23][emoji23] kamkoa kenu kazuri ila katikati ya mji nyumba chafu chafu jumlisha hilo dongo lenu jekundu hapana. Matofali mnayojengea ndo mnanikera kabisaa... yaan mjin unakuta kajumba ka udongo pemben ya ghorofaaa... hapanaaaa. Si uungwanaa.. hali ha hewa nzuri ila majumba yenu hapana[emoji23][emoji23]Tatizo ni expectations zenu
Mnataia kuifanananisha Moro na new York City .
Yaani life mlilolizoea dar mlikute Moro haipo hivo aisee nadhani hata staili ya maisha dar huwezi ioata dodoma Wala arusha .
Kila sehemu Ina taste yake .
Sasa unakuta anauponda mji fulani still bado unaishi humo humo Sasa uhame[emoji1] kwani wamekufunga kamba !!!!
Unakuta mtu kwao huko bush kabisa hakufanani na Moro hata kidogo Ila mbwembwe Sasa utadhani kazaliwa Manhattan
Tatizo ni expectations zenu
Mnataia kuifanananisha Moro na new York City .
Yaani life mlilolizoea dar mlikute Moro haipo hivo aisee nadhani hata staili ya maisha dar huwezi ioata dodoma Wala arusha .
Kila sehemu Ina taste yake .
Sasa unakuta anauponda mji fulani still bado unaishi humo humo Sasa uhame[emoji1] kwani wamekufunga kamba !!!!
Unakuta mtu kwao huko bush kabisa hakufanani na Moro hata kidogo Ila mbwembwe Sasa utadhani kazaliwa Manhattan
Mi sio mluguru mkuu .We mluguru tuliaa[emoji23][emoji23] kamkoa kenu kazuri ila katikati ya mji nyumba chafu chafu jumlisha hilo dongo lenu jekundu hapana. Matofali mnayojengea ndo mnanikera kabisaa... yaan mjin unakuta kajumba ka udongo pemben ya ghorofaaa... hapanaaaa. Si uungwanaa.. hali ha hewa nzuri ila majumba yenu hapana[emoji23][emoji23]
Uliza tuwekee hapa,Ni hapo town sema sikumbuki jina mpaka niulize tena
Acha kabisa hii ndo changamoto ya mkoa wetuMoro panaharibiwa na lile dongo jekundu hasa kiangazi na masika
mbona nyumba za udogo zipo kariakoo mkuuWe mluguru tuliaa[emoji23][emoji23] kamkoa kenu kazuri ila katikati ya mji nyumba chafu chafu jumlisha hilo dongo lenu jekundu hapana. Matofali mnayojengea ndo mnanikera kabisaa... yaan mjin unakuta kajumba ka udongo pemben ya ghorofaaa... hapanaaaa. Si uungwanaa.. hali ha hewa nzuri ila majumba yenu hapana[emoji23][emoji23]
Dah....inasumbuaje hii changamoto? How?Acha kabisa hii ndo changamoto ya mkoa wetu
Hajui kuwa hajuimbona nyumba za udogo zipo kariakoo mkuu
Vyumba vya matukio hivi ๐๐Viko had 300k
Morogoro Kuna Mengi SanaDah!!!,Wana Moro walimwingiza mzee mjini.