Kha!kha!,huko atuachie sisi wadhambiKahumba
Iko wapi hiyo??Kingolowira
MorogoroIko wapi hiyo??
Ni Kahumba Ukimwi Mochwari Hotel tu.Habarini ndugu zangu,
Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.
Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).
Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
Wapi hapo niibuke[emoji1]Kuna sehemu wanachoma kuku tamu kwelii pale mjini kati
Najua kuwa ipo Morogoro,lkn ni maeneo gani??.Morogoro
Ni hapo town sema sikumbuki jina mpaka niulize tenaWapi hapo niibuke[emoji1]
Nataka kujua hotel ya kulala nzuri na yenye vyakula vizuri sana.
Nimeshangaa pia wanavyosema bar za moro ziko updated..duh...kweli exposure ni muhimu!Kusema kweli, utahangaika sana. Hata huko wanakosema, hautapapenda ukifika. Watu wa Morogoro watasema ni pazuri lakini km umezoea viwanja matata, utakuwa disappointed ukifika. Morogoro bado sana. Manage your expectations na jiandae kisaikolojia.
asante mkuu kwa taarifa, ni vipi kuhusu iyo cate hotel, nimeambiwa kuna (swimming, vyakula vizuri, live band, nk) je kuna ukweli wowote na gharama zake zipojeKusema kweli, utahangaika sana. Hata huko wanakosema, hautapapenda ukifika. Watu wa Morogoro watasema ni pazuri lakini km umezoea viwanja matata, utakuwa disappointed ukifika. Morogoro bado sana. Manage your expectations na jiandae kisaikolojia.
Uhuru ParkKuna sehemu wanachoma kuku tamu kwelii pale mjini kati
Cate hotel nzuri, chumba cha kawaida 120,000/-. Google utaona picha.asante mkuu kwa taarifa, ni vipi kuhusu iyo cate hotel, nimeambiwa kuna (swimming, vyakula vizuri, live band, nk) je kuna ukweli wowote na gharama zake zipoje