bei ya chumba imechangamka kumbe aiseeCate hotel nzuri, chumba cha kawaida 120,000/-. Google utaona picha.
Hahahahah we unataka Nini Cha ziada kwenye bar [emoji1787]Nimeshangaa pia wanavyosema bar za moro ziko updated..duh...kweli exposure ni muhimu!
Moro bado mno mno!
Unaonekana hujui bata ..Hahahahah we unataka Nini Cha ziada kwenye bar [emoji1787]
We Ni mwanamke au mwanaume tuanze hapo kwanza .
Kila.jinsia Ina taste yake .
Exposure gani unayoizungumzia ya kwenda mamtoni au huko kwa Wana apolo[emoji1]
Cate Hotel ipo Kingolwira, ukitokea Dar ni kijiji cha kwanza au pili baada ya kupita mizani ya Mikese! Mazingira na vyumba vyake ni vizuri ila upande wa misosi sio bora sana! Kama hupendi vurugu za mjini pana kufaa! Ila ule mji bado sana upande wa maeneo ya kujidai!Habarini ndugu zangu,
Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.
Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).
Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
Najua Bata mzingaUnaonekana hujui bata ..
Hivi hiki kiwanja bado kipo duuhKahumba
Viko had 300kbei ya chumba imechangamka kumbe aisee
Bata la moro ni la kawaida sana..halina maajabuMoro pa kawaida sana upande wa starehe, Kuna Clubs kama Star pack na Samaki samaki izi zinakimbiza ila tafuta mwenyeji umueleza hitaji lako kama ni watoto hata kwa grocery wamejaa
Lile dongo jekundu pia ni tatizoCate Hotel ipo Kingolwira, ukitokea Dar ni kijiji cha kwanza au pili baada ya kupita mizani ya Mikese! Mazingira na vyumba vyake ni vizuri ila upande wa misosi sio bora sana! Kama hupendi vurugu za mjini pana kufaa! Ila ule mji bado sana upande wa maeneo ya kujidai!
CATE ipo mbali mkuu na kama unataka viburudisho vingine tafuta guest za Msamvu ila hala hala usije ukabaki tu na kyupiHabarini ndugu zangu,
Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.
Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).
Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
Miaka ya nyuma hapo Kahumba alikuwa mama wa kimasai mtu mzima kahaba, alikuwa analazimisha game kwani watu walikuwa wanamkwepa na kwenda kwa vimbinyiko.Ni Kahumba Ukimwi Mochwari Hotel tu.
Uhuru Park
Mbona umepotea kule....Yaani kuna mtu ametaja mpaka uhuru park[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Morogoro bado sanaaa... yaan ukiambiwa tu hapa ndo center utashangaa..
Licha ya kuwa ndo katikati kabisa ya barabara kubwa zaidi ya kimataida inaunganisha mikoa mingi sana na nchi za jirani ila ni pa hovyo sanaa. Pamezubaa kama penzi la mkamba[emoji23][emoji23]
Unaonekana hujui bata ..
Ha ha ha nitarudi mkuu. Wewe si dec jaman? Ama ushasahauMbona umepotea kule....
Sasa na shemeji yako atamuacha akikutana na totoz za SUA😆Nenda Mazimbu, kuna totoz kali za SUA, utasuuza mpaka uchoke, hawana gharama kabisa
Mtu unakaa bar jua la alasiri lote linakumalizikia wewe...! Ndo useme kuna bata?hata night club Moro hakuna...mnajikuta ni wale wale uliyemwacha samaki samaki anahamia starpark..nakataa kbs kuwa Moro kuna bata na vijiwe classyHuyo akishakuta makange ya kuku na foil ya mbuzi akiona na malaya wenye misambwanda tayari ndio bata zake, mtu bar hazina hata ICE utulivu zero bado wanataka tuzisifu hapana
Mimate imenitokaKuna sehemu wanachoma kuku tamu kwelii pale mjini kati