Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

Nakuona tajiri
Kinondoni kuna KRA kila kona,Kinondoni Revenue Authority,yaani ukitoka unapigwa kirungu ukirudi kirungu utadhani umeenda kuishi ili uombwe hele,na kauli zao za nakuona tajiri,wakati wee.mwenyewe unaenda kuhenyeshwa kwa wahindi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ