J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Feb 20, 2025 #21 jlo father said: me nahtaji sehemu yeyote isiokuwa na uswahili mkuu naomb msaada wako Click to expand... Nafikiri wenyeji wa huko watakupatia taarifa nzuri zaidi kulingana na hitaji lako. Subiri watajitokeza na kukupatia ushauri unaohitaji.
jlo father said: me nahtaji sehemu yeyote isiokuwa na uswahili mkuu naomb msaada wako Click to expand... Nafikiri wenyeji wa huko watakupatia taarifa nzuri zaidi kulingana na hitaji lako. Subiri watajitokeza na kukupatia ushauri unaohitaji.
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,915 Reaction score 5,038 Feb 20, 2025 #22 Kiegea, mkundi, kuna viwanja vizuri bei poa ila mvua za mwaka jana, zimeonyesha athari kubwa ya mafuriko maeneo hayo
Kiegea, mkundi, kuna viwanja vizuri bei poa ila mvua za mwaka jana, zimeonyesha athari kubwa ya mafuriko maeneo hayo
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 8,082 Reaction score 17,838 Feb 20, 2025 #23 jlo father said: Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati Click to expand... Cc Faana @myangu
jlo father said: Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati Click to expand... Cc Faana @myangu
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,735 Reaction score 2,123 Feb 20, 2025 #24 Forest
M msapinungu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 839 Reaction score 692 Feb 20, 2025 #25 mzabzab said: Hili nipe details maana nasaka kiwanja hayo maeneo. Hiyo barabara lazima itapigwa lami tuu. Naomba details pm plz. Click to expand... Details zao wasiliana na tawi lolote la Tanzania Commercial Bank (TCB) lililokaribu nawe utapata maelezo zaidi kwani ni wakala wa UTT katika mauzo ya viwanja hivyo.
mzabzab said: Hili nipe details maana nasaka kiwanja hayo maeneo. Hiyo barabara lazima itapigwa lami tuu. Naomba details pm plz. Click to expand... Details zao wasiliana na tawi lolote la Tanzania Commercial Bank (TCB) lililokaribu nawe utapata maelezo zaidi kwani ni wakala wa UTT katika mauzo ya viwanja hivyo.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Feb 20, 2025 #26 finyango said: Forest Click to expand... Huko kimyaa Ova
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,735 Reaction score 2,123 Feb 20, 2025 #27 mrangi said: Huko kimyaa Ova Click to expand... Ndio pazuri,Pametulia sana sana