Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

Kiegea, mkundi, kuna viwanja vizuri bei poa ila mvua za mwaka jana, zimeonyesha athari kubwa ya mafuriko maeneo hayo
 
Hili nipe details maana nasaka kiwanja hayo maeneo. Hiyo barabara lazima itapigwa lami tuu. Naomba details pm plz.
Details zao wasiliana na tawi lolote la Tanzania Commercial Bank (TCB) lililokaribu nawe utapata maelezo zaidi kwani ni wakala wa UTT katika mauzo ya viwanja hivyo.
 
Back
Top Bottom