Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tutajeni sehemu wanapopika chips vizuri kwa hapa dar .
Maana kuna sehemu zingine unakula chips lakini hata usikii raha yake
Sehemu ninazo zijua mimi baadhi ni hizi
1)Njia panda ya majumba SITA pale Banana wanapaita kwa Salumu
2) Tabata kimanga pale stendi wanapaita kwa mpemba
3)Temeke mtaa wa Yombo karibu na Mpomabiva
4)Tandika katibu na stendi ya magari ya buza
5)Mwenge stendi ya zamani ya magari ya goms kwa kule ndani .
6)M city
7)Mikocheni A kwa mwarabu wa dubai
8)Kariakoo kuna vijiwe vingi tu
Sehemu nyingine malizieni