Sehemu ya field Bsc in Science in Information System

Mm nlkuwa social and humanities kule course za arts
Mybe kule mkuu ila huku mwaka wa kwanza field hapa hapa ila wa pili na kuendelea unajitafutia mwenyewe mkuu..

Hii nazingumzia CIVE kaka
 
Tatizo Hilo Jina, wewe si utafuta code au configuration zote. Na ukipewa best practices hutazifata
 
Kama kupata field ni mtihani ivi vipi kazi??
Sanuka dogo anza kutunza izo boom ukimaliza uanzishe biashara ya dagaa
 
Chonga vzr na hao walimu wako watakuunganisha pazuri, Mimi kipindi nasoma walimu walikua wanatuunganisha sehemu za field hasa hasa Vodacom mwanza, Airtel, TTCL, Muhimbili, TAZARA n.k
 
Mkuu wangu mpaka nimefunguka hapa jua hizo njia zingine zote zimeonga mwamba......
 
Chonga vzr na hao walimu wako watakuunganisha pazuri, Mimi kipindi nasoma walimu walikua wanatuunganisha sehemu za field hasa hasa Vodacom mwanza, Airtel, TTCL, Muhimbili, TAZARA n.k
Voda wamejaaa
Tccl the same

Mybe tazara huko sijapacheki ila mpaka mda huu sizani aisee
 
Back
Top Bottom