Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Wa kike au wa kiume? ....tuanzie hapa kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mybe kwa kipindi hicho ila voda na tccl plas TANESCO walishatoa nafasi mapema sana tuende ila sasa ishu zinakuja nafasi chache mno..Hata na hvo voda kama semester ya kwanza huna GPA ya 3.5 hawakuchukui
Ahahahahahhaha daaah mkuu ngoja tuone ila hiyo ni option ya mwisho sana maana naweza pia hata ku PEX field nikafanya mwakani piaBana hapo hapo Chuoni waambie umekosa field
Wa kike mkuuWa kike au wa kiume? ....tuanzie hapa kwanza
Jaribu vyuo vya kati napo usikae kizembe masterMybe kwa kipindi hicho ila voda na tccl plas TANESCO walishatoa nafasi mapema sana tuende ila sasa ishu zinakuja nafasi chache mno..
Mfano TANESCO walihitaji watu 10 tuu kwa dar ila mikoa mingine ilikua infinity..
Ukija voda nao the same kuna compitation kubwa kati ya wanafunzi wa telecom na sisi wa kada nyingine hv nao wanafanya selective.
Ukija ttcl wale wanabeba tuu yaani zoa zoa sasa mkuu ukiona sehemu ni zoa zoa jua kabisa huko unaenda kukutana na mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu mfano
Mtu unaenda kufanya vitu tofauti na field yako adi unabaki unashangaa
Sawa sawa mkuu ndo napambana hivi kama napata connection ndo hvo ni chap napeleka barua maana soon tunamaliza UEJaribu vyuo vya kati napo usikae kizembe master
Hee mbona mwandiko wa kiume🤣Wa kike mkuu
Mwandiko wa kiume upo vipi mkuu..Hee mbona mwandiko wa kiume🤣
Naona bado haujapevuka vema kichwani, kwenye maisha si lazima ufanye kile ulichosomea.Ukija ttcl wale wanabeba tuu yaani zoa zoa sasa mkuu ukiona sehemu ni zoa zoa jua kabisa huko unaenda kukutana na mambo ya ajabu
Sawa mkuu itoshe kusema ahsante sana kwa ushauri wako mzuri kabisa na ulio na ujumbe ndani yake.Naona bado haujapevuka vema kichwani, kwenye maisha si lazima ufanye kile ulichosomea.
Mimi binafsi namshukru Mungu nina ahueni na ninafanya vitu tofauti kabisa na kile nilichosomea.
Hata field nilifanya kitu tofauti na kile nilichokuwa nakisoma. Hivyo usiogope kwenda huko TTCL kama kuna nafasi, wakati mwingine ni mwanzo wa kupata fursa nyingine ya kukuwezesha kupata mkate wa kila siku.
Hakuna kabisaChuoni hawakupi maeneo ya kwenda?
Dasilamu ikawe easy kupata mashangazi,, enewei ukafanikiwe.Wakuu kijana wenu hapa...
bado napuyanga tuu sehemu nilizoomba zote wamesema zimejaa sasa naimani hapa naweza pata connection..
Tena nipate huko dasalam wakuu 🙏 🙏 DR HAYA LAND
BICHWA KOMWE -
Mbaga Jr
Wakuu kijana wenu hapa...
bado napuyanga tuu sehemu nilizoomba zote wamesema zimejaa sasa naimani hapa naweza pata connection..
Tena nipate huko dasalam wakuu 🙏 🙏 DR HAYA LAND
BICHWA KOMWE -
Mbaga Jr