Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Prof mselle unamjua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta sehem ya fildAbee!
Naam 😂😂Weeeeh 😂😂😂
Daaah sawa mkuu ngoja tuone maana kwa sasa nipo dodoma siwezi chomoka bila statiment ya sehemu ya fieldNikajua wewe Mwalimu , ili uje hapa diplomasia sec tupunguze zero
Mkuu kama UPO DSM nenda katika halmashauri hautikosa nafasi plus posho.
Kama tutapata namba ya DED tutampigia.
Namjua ndio ni mwalimu wangu pia mkuuProf mselle unamjua?
Na mshangazi je?Natafuta sehem ya fild
Natafuta vyote...😂😂😂😂Na mshangazi je?
Tulia totoo, utapata vyote🤣Natafuta vyote...😂😂😂😂
Daaah ila wee una amua tuu kunitoa kwenye reli
Daaah 😂 😂 😂 Mungu anakuona lakini hayo mambo ya kuitana totoo mi sipendi ujueTulia totoo, utapata vyote🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNjoo tufunge ndoaa ya threesome na Mufti kuku The Infinity
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki ndoa?Huyu bichwa tukemee hili pepo kwa kweli
Jaribu Wasafi na Clouds.Nilipoomba pamejaa niliomba azam media... Niliomba voda nk
Nipe muongozo mkuu nipo tayar 🙏🙏🙏Nenda SGR