Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #21
Mybe kule mkuu ila huku mwaka wa kwanza field hapa hapa ila wa pili na kuendelea unajitafutia mwenyewe mkuu..Mm nlkuwa social and humanities kule course za arts
Hapo wacheki walimu wako watakuwa na connection au wanafunzi wenzakoMybe kule mkuu ila huku mwaka wa kwanza field hapa hapa ila wa pili na kuendelea unajitafutia mwenyewe mkuu..
Hii nazingumzia CIVE kaka
Mkuu mpaka nimekuja huku ahahahaHapo wacheki walimu wako watakuwa na connection au wanafunzi wenzako
Dah kivumbi aiseeMkuu mpaka nimekuja huku ahahaha
Ahahahah mkuu bana...Tatizo Hilo Jina, wewe si utafuta code au configuration zote. Na ukipewa best practices hutazifata
Uko UDOM?😂😂😂😂😂 Mbaga ujawahi kuwa seriously
Ndio mkuu...Uko UDOM?
Kwann umemtag BICHWA KOMWE - ?Wakuu kijana wenu hapa...
bado napuyanga tuu sehemu nilizoomba zote wamesema zimejaa sasa naimani hapa naweza pata connection..
Tena nipate huko dasalam wakuu 🙏 🙏 DR HAYA LAND
BICHWA KOMWE -
Mbaga Jr
😂😂😂😂😂😂 Samahani mkuuKwann umemtag BICHWA KOMWE -
Naelewa hilo kakaKama kupata field ni mtihani ivi vipi kazi??
Sanuka dogo anza kutunza izo boom ukimaliza uanzishe biashara ya dagaa
Mkuu wangu mpaka nimefunguka hapa jua hizo njia zingine zote zimeonga mwamba......Chonga vzr na hao walimu wako watakuunganisha pazuri, Mimi kipindi nasoma walimu walikua wanatuunganisha sehemu za field hasa hasa Vodacom mwanza, Airtel, TTCL, Muhimbili, TAZARA n.k
DUWASA Umeomba ?? Sehemu mbona nyingi tu, Saizi kila Ofisi ya serikali ina kitengo cha Tehama.Wakuu kijana wenu hapa...
bado napuyanga tuu sehemu nilizoomba zote wamesema zimejaa sasa naimani hapa naweza pata connection..
Tena nipate huko dasalam wakuu 🙏 🙏 DR HAYA LAND
BICHWA KOMWE -
Mbaga Jr
Voda wamejaaaChonga vzr na hao walimu wako watakuunganisha pazuri, Mimi kipindi nasoma walimu walikua wanatuunganisha sehemu za field hasa hasa Vodacom mwanza, Airtel, TTCL, Muhimbili, TAZARA n.k
Mkuu ishu ni connection hapo DUWASA NAfika fika vipi ...?DUWASA Umeomba ?? Sehemu mbona nyingi tu, Saizi kila Ofisi ya serikali ina kitengo cha Tehama.
Hata na hvo voda kama semester ya kwanza huna GPA ya 3.5 hawakuchukuiVoda wamejaaa
Tccl the same
Mybe tazara huko sijapacheki ila mpaka mda huu sizani aisee
Nenda DUWASA mtafute mtu anaitwa KITIME, do Director wa Kitengo cha Tehama, Jamaa yuko poa atakusaidia.Mkuu ishu ni connection hapo DUWASA NAfika fika vipi ...?
Bana hapo hapo Chuoni waambie umekosa fieldMkuu wangu mpaka nimefunguka hapa jua hizo njia zingine zote zimeonga mwamba......