KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Njooni msikitini, kwani mlikatazwa, uki feel unahitaji Mwenyezi Mungu, ingia msikitini tu, hakikisha mwili wako uko msafi, koga vizuri ingia msikitini, fata wagtu wafanyavyo, utaiona raha ambayo hujwahi kuiona maisha yako.
Kama nimetoka kula kitimoto naruhusiwa kuingia bila kubadilisha nguo??
 
Siku ukifika Airport utajua kuna wasafiri wanakaa hadi siku nzima wakisubiria ndege, wengine hadi wanalala kabisa kwenye viti vya Airport.
Hiyo ni dharura, msafiri wa ndege anatakiwa kuripoti saa tatu kabla ya safari
 
Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
Basi watafanya kama shule,
UKWATA, CASEFETA na TYCS.
Halafu na hekalu la Wahindu pia wasisahau.
 
Kila siku kuna wanaounganisha ndege ambazo nyingine wanasubiri hadi masaa sita na hawawezi kutoka nje ya Airport.
Hakuna mkristu atayehitaji kufanya ibada katika muda huo,wakristu ibada ni mtoko wa weekend
 
Njooni msikitini, kwani mlikatazwa, uki feel unahitaji Mwenyezi Mungu, ingia msikitini tu, hakikisha mwili wako uko msafi, koga vizuri ingia msikitini, fata wagtu wafanyavyo, utaiona raha ambayo hujwahi kuiona maisha yako.
Inshallah 😎 Cc ephen_
 
Ya Wahindu.
Kazi kweli kweli, maana Wahindu wanavyoabudia vingine vinatisha ukiachana na ng'ombe na nyoka, hivi na Wabudha nao wakitaka wawekewe sehemu yao ya kuabudia pia itakuwaje? Kiufupi ni kwamba wanaofanya ibada mara nyingi kwa siku ni Waislam, hao wengine wanao uwezo wa kwenda kufanya ibada wanakokwenda uwanja wa ndege wanakaa muda mfupi tu katika siku.
 
Back
Top Bottom