KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wakristo hawana utamaduni wa kusali mara kwa mara au kila siku, wao wana siku maalum na ratiba maalum vinginevyo wanasalia hata nyumbani.
Hawa wenzetu ni hitaji lao la muhim ili wasiwabugudhi wengine maana wao ibada zao ni za kila siku tena mara kwa mara na mahala popote.

Sioni shida katika hilo ukiweka udini pembeni.
 
Sio Airport tu, bali pia ktk Bus stands, Hospitals, ,Schools, Office za umma. nk.
Bila kujali mawazo kuhofishwa ya Udini, all publics areas walau ziwe na PRAY ROOMS ....huu ni huduma ya kiroho.

Wanachohitaji ISLAM is just a room, haijalishi uwe dhehebu gani pale ni kuingia, kusali na kuondoka. The same iwe kwa Christian bila kujali ni dhehebu gani

Ni Huduma hii ni muhimu sana hasa kwenye jamii ambayo sehemu kubwa inaamini MWENYEZI MUNGU.

Designers wa haya majengo wanasita kuweka hizi rooms ktk PLAN zao.

Kama tunafundisha na kujlhimiza KUMCHA MUNGU kwamba inatengeneza mtu kuwa binadamu,basi hakuna haja ya kuogopa hili.
 
Back
Top Bottom