KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Suala siyo kutowepo dunia ya uchinjaji,suala ni imani moja kupewa jukumu la kuchinja kitoweo cha wote ambako linafanana na la imani moja kuwa na prayer room airport
Umeongelea kitu ninachotamani halafu unataka kunipangia kitu ninachotamani tena?

Mimi natamani dunia ambayo haina uchinjaji, haina watu wa imani fulani wanaochinja, kwa sababu hakuna, kuchinja, huelewi nini hapo?
 
Hizo njia za shuttle si zitajengwa na serikali!!..sisi wapagani tutajisikiaje hazina kujenga njia za shuttle Ili waumini wakafanye ibada!?

Mpagani ni nani?

Hata wapagani wataruhusiwa kujenga wanavyotaka, hata kama ni kibrary tu, wasipojenga watakuwa wameshapewa fair access.
 
Dini ya haki ua watu Mia uende firdaus ukastarehe na mabikra 70 sasa sijui wewe bibi utastarehe na nani maana ni kwa wanaume tuu
 
Mpagani ni nani?

Hata wapagani wataruhusiwa kujenga wanavyotaka, hata kama ni kibrary tu, wasipojenga watakuwa wameshapewa fair access.
Mpagani ni mtu asiyeamini juu ya supernatural being,na hapo itajengwa njia ya shuttle Ili waamini waende kwenye ibada zao,imetumika FEDHA hazani ambayo ni ya mpagani pia kujengea waamini barabara
 
Mpagani ni mtu asiyeamini juu ya supernatural being,na hapo itajengwa njia ya shuttle Ili waamini waende kwenye ibada zao,imetumika FEDHA hazani ambayo ni ya mpagani pia kujengea waamini barabara
Kwanza kabisa mpagani anaweza kuamini supernatural beings.

Mpaka hapo umekosea na unahitaji kujifunza zaidi.
 
Kwanza kabisa mpagani anaweza kuamini supernatural beings.

Mpaka hapo umekosea na unahitaji kujifunza zaidi.
Unajua ninachomaanisha kama 'mswahili' nisemapo mpagani, mengine ni kuzunguka tu na kuendeleza mdahalo
 
Unajua ninachomaanisha kama 'mswahili' nisemapo mpagani, mengine ni kuzunguka tu na kuendeleza mdahalo
Hapana,

Neno pagani lina maana yake maalum katika Kiingereza na Kiswahili.

Wapagani ni neno lililotumika na dominant culture, hususan wazungu wakristo, wakizibagua dini nyingine ambazo ni tofauti na dini zilizotokana na Uebrania (Ukristo, Uislamu, Uyahudi).

Kwa hiyo, kwa mfano, dini za asili za iliyo Tanzania, ambazo zina imani nyingi sana za supernatural, mambo ya matambiko, uchawi, uganga wa kuagua, zote hizo zinaitwa upagani.

Sasa hapo, kwa mtu anayejua upagani, utasemaje upagani hauna supernatural belief?

Ukisema upagani hauna supernatural beliefs, unanionesha hujui upagani ni nini.

You don't know what you are talking about.
 
Hata dini ya kiislam ina madhehebu mengi; Kwa mfano Sunni, Shia, Wahabbi, Salafi, Berelvi, Sufi, Deobandi na mengine mengi.
Wanaabuduje huko kwenye viwanja vya ndege, Petrol Stations, n.k. walikojengewa sehemu za kuabudia?
Kuna fujo yoyote ya ibaada zao ilishawahi kutokea sehemu hizo?
Wakristo ni wapole na watu wa kuachilia; hawasumbuki na mambo ambayo hayaathiri imani yao, pamoja na kwamba wanachokozwa sana na baadhi ya watu wenye imani tofauti na wao.
Najua hata hapa nitashambuliwa; karibuni kwa povu.
Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
 
Hapana,

Neno pagani lina maana yake maalum katika Kiingereza na Kiswahili.

Wapagani ni neno lililotumika na dominant culture, hususan wazungu wakristo, wakizibagua dini nyingine ambazo nibtofauti na dini zikizotokana na Uebrania (Ukristo, Uislamu, Uyahudi).

Kwa hiyo, kwa mfano, dini za asili za ikiyo Tanzania, ambazo zina amani nyingi sana za supernatural, mqmbo ya matambiko, uchawi, uganga wa kuagua, zote hizo zinaitwa upagani.

Sasa hapo, kwa mtu anayejua upagani, utasemaje upagani hauna supernatural belief?

Ukisema upagani hauna supernatural beliefs, unanionesha hujui upagani ni nini.

You don't know what you are talking about.
Ok fine
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Airport unaenda kuabudu au kusafiri?! Ujinga mtaacha lini?
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
We nae waache Waislam.. wakristo Ibada hadi Jumapili tena Ibada ya masaa 2+ kwann uwahi aiport kusali masaa mawili..

Waislam wanaswali dakika chache tu tena kwa wakati, tuwe na Fikra hata za kibinadamu juu ya hili
 
Unataka kanisa hapo Airport mchungaji awe kiboko ya wachawi.??
 
K
Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
Kwani Shia na Sunni na Ahamadya wanaswali msikiti mmoja? Hata hao Sunni wako na tofauti.
Vyuoni au pale Muhimbili sehemu ya Mortuary mbona lipo kanisa wanalitumia wote
 
Back
Top Bottom