KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sioni sababu ya hoja yako. Kuna maeneo ambayo taasisi za dini zilipewa baada ya kuyaomba zijenge nyumba zao za ibada. Uwanja wa ndege siyo eneo la taasisi za dini kujenga nyumba za ibada. Kwa ndugu zetu Waislamu kuwa na chumba cha sala uwanja wa ndege, ni understandable kutokana na mfumo wao wa kuswali sala 5 kwa siku. Taasisi zingine za dini hazina shida na hitaji hili. Hivyo, hoja kwamba hizi taasisi zipewe vyumba vya kufanyia ibada zao uwanja wa ndege, naona haina mashiko kwa sababu mwisho wa siku uwanja wa ndege utageuka kuwa nyumba za ibada za taasisi za dini mbalimbali zilizoko nchini. Wahindu, Wakristo (ambao mahitaji yao katika nyumba zao za ibada ni tofauti pia), Waislamu, dini za asili, etc.
 
Hlf cha kushangaza kuna baadhi ya nyuzi ukipitia unakuta bado wanazungumzia hizo habar,yan nashindwa kuelewa shida iko wapi?

Ukiandika mapenz ooh nchi hii watu wanawaza mapenzi,ukileta challenge ya vocha ooh tunadhalilishana,,sijui tunataka nini
Kumbe ni ww nilikua natafuta ni nani huyo anachambwa kila uzi?? 😄😄
 
Mitano tena. Magufuli mlimnanga sana yaani misikiti iote kama uyoga ndipo titaelewana
 
Usitake kushindana na mtoto wa bibi anayependa kudeka, akifichiwa ubwabwa jikoni, kula mliopewa ule mwingine jifanye haukuuona.
 
Ndo hasara ya kuacha wapumbavu wawe na wafanya maamuzi huo ni ushenzi au kwa kua wakristo si watu wa kelele na vurugu? Wangeweka la wakristo hapo ungesikia fujo ..Pale kuna siku unatafuta mchungaji mnaenda kufanya ibada kwenye sehem ya kusubiria abiria piga ibada kali sana harafu ajitokeze mtu kuwakamata mnasema mbona waislam mmewapa sehem na ikiwa na kundi hili lina watu wachache sana tz.
 
Na sisi akina Yeriko Nyerere tunahitaji kamsitu ka kufanyia ibada zetu
 
Jumapili na Jumamosi watu hawasafiri?
Kanisa liwe dhehebu gani? Wasabato au anglikan au ?
Mnapaswa muelewe sio kila kitu cha dini kiwe na usawa.
Waislam ndy wanaswali kwa wakati maalum na ni mara 5 kwa siku.

Je wakrsto wanasali mara ngp kwa siku? Na je wakristo wote wanaweza sali kanisa moja bila kujali dhehebu?
 
Sio kweli wapo wakristo wanaofanya ibada muda mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…