Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?

1628876798517.png
 
ghuba ni sehemu ya ardi iliyoingia baharini
rasi ni sehemu ya ardhi iliyoingiliwa na bahari na kuchongoka pekbe tatu

NB: sikumbuki vizuri, hili ni somo la maarifa ya jamii subiri walimu waje watakusaidia
Ghuba ni sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu

Rasi ni sehemu nyembamba ya ardhi iliyoingia baharini

Penisula
Ni sehemu kubwa ya ardhi iliyoingia baharini
 
ghuba ni sehemu ya ardi iliyoingia baharini
rasi ni sehemu ya ardhi iliyoingiliwa na bahari na kuchongoka pekbe tatu

NB: sikumbuki vizuri, hili ni somo la maarifa ya jamii subiri walimu waje watakusaidia
Ghuba ni sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu.
Rasi ni sehemu ya iliyoingia majini
 
Back
Top Bottom