Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

Kigambon ni rasi

Sasa sijui vijibwen inajitengaje hapo
Nafikiri hatuelewani. Ni hivi swali lilikuwa Ile sehemu ya maji pale bandarini inaitwaje? Jibu ni Ghuba.
Kuhusu Kigamboni,Vijibweni ni RAS,pensula au kisiwa wewe ndio unasema.
Ghuba ni Ile sehemu ya maji ilioingia pale bandarini hadi kurasini,huu ndio uelewa wangu.
 
Mkuu unafahamu tusi alilotukanwa mamba wa 'kabla ya kuvuka mto' nasikia aliambiwa ana mdomo mkubwa🙂🙂

Hii story kama unayo naomba unipe yote

Nakusanya story zilizosababisha misemo kama hii

Naijua ya 'utakiona cha mtema kuni'

Ukistaajabu ya Mussa.

Kalumekenge na zingine
 
Hii story kama unayo naomba unipe yote

Nakusanya story zilizosababisha misemo kama hii

Naijua ya 'utakiona cha mtema kuni'

Ukistaajabu ya Mussa.

Kalumekenge na zingine
Hapana mkuu, najua tu hilo tusi.
 
Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?

View attachment 1890434
Peninsula kwa kiswahilil inaitwa RASI. Bay na Gulf ni Ghuba.

Rasi/peninsula ni sehemu ya nchi iililyozungukwa na maji katika pande zake tatu (Nchi kavu prolonged katika maji).

Ghuba/Bay ni sehemu ya maji iliyoingia katika nchi kavu kwa sehemu while Ghuba/Gulf ni sehemu kubwa ya maji iliyoingia sana kwenye eneo la nchi kavu. Lakini zote zinatiwa Ghuba kwa kiswahili.

Red Giant
 
Japo penisula ni ile nchi kavu. Mi nazungumzia ile ya maji iliyoingia ndani hadi bandarini na kuendelea.
Ghuba kinyume chake rasi


Eneo la bahari lilililoingia nchi kavu huitwa rasi

Eneo la ardhi lililoingia baharini huitwa ghuba

Eneo la ardhi lililozingukwa na maji pande zote huitwa kisiwa

Eneo la bahari lililo zungukwa na maji pande tatu au 75% huitwa peninsula

Eneo kubwa la ardhi lililozingukwa na maji pande zote huitwa bara

Eneo kubwa la maji lililozingukwa na ardhi huitwa bahari

USSR
 
Back
Top Bottom