RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Yes....au waliongeza.Man made ndy ifike Hadi huku kijichi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes....au waliongeza.Man made ndy ifike Hadi huku kijichi mkuu?
1. Rasi (pia:peninsula lat. nusukisiwa) ni sehemu ya nchi inayoelekea katika maji ya bahari au ziwa na kuzungukwa na maji pande tatu. Ni kama kisiwa kinachounganishwa na bara upande mmoja tu.RAS huwa ni sehemu ya ardhi nyembamba na imeingia baharini, peninsula ni kubwa imezungukwa na maji.
Huwa wanatafuta mahali nchi kavu kama mapango au bonde kisha hujibanza hapo!!Ndugu wakimaliza kukujibu Swali lako tafadhali niulizie na Mimi kuwa je, wale Mamba ambao huwepo katika Mito mbalimbali ile Mito ikikauka hupotea ghafla huwa wanapotelea wspi?
Kwahio India ni peninsula pia?
Yes Sir ...Kwahio India ni peninsula pia?
Wanachimba mashimo makubwa sn chini ya ardhi na hukaa huko kipindi chote ambacho mto umekauka.Wengine wakati maji yanaisha kwenye mto na kubakia tope zito hutoka na kukimbilia nchi kavu.Hawa mara nyingi hufa huko maana hawawezi kusavaivu nje ya maji Kwa muda mrefu Kama kengeNdugu wakimaliza kukujibu Swali lako tafadhali niulizie na Mimi kuwa je, wale Mamba ambao huwepo katika Mito mbalimbali ile Mito ikikauka hupotea ghafla huwa wanapotelea wspi?
Waliongeza kina ili meli kubwa ziweze kupita vizuri bila kugusa mchanga chini,lkn hata kabla ya kufanya hivyo maji ya bahari yalikuwa yamefika kurasini,vijibweni, kijichi Hadi miandeYes....au waliongeza.
Basi ni Ghuba hioWaliongeza kina ili meli kubwa ziweze kupita vizuri bila kugusa mchanga chini,lkn hata kabla ya kufanya hivyo maji ya bahari yalikuwa yamefika kurasini,vijibweni, kijichi Hadi miande
Ni sahihi japo Ras huwa ni ndogo kama ya kigamboni au ya tumaini jema, lakini peninsula ni kubwa kama Italy, Korea au Iberia.
Peninsula ni sehemu ya nchi kavu iliozungukwa na maji sehemu kubwa (sio sehemu yote iliozungukwa na maji kama kisiwa). Mfano Masaki.
Sehemu ya maji ilioingia nchi kavu ni Ghuba.
Mkuu unafahamu tusi alilotukanwa mamba wa 'kabla ya kuvuka mto' nasikia aliambiwa ana mdomo mkubwa🙂🙂Wanachimba mashimo makubwa sn chini ya ardhi na hukaa huko kipindi chote ambacho mto umekauka.Wengine wakati maji yanaisha kwenye mto na kubakia tope zito hutoka na kukimbilia nchi kavu.Hawa mara nyingi hufa huko maana hawawezi kusavaivu nje ya maji Kwa muda mrefu Kama kenge
Walio ndani ya mashimo hupata baridi na wanaishi Kwa muda mrefu sn kulinganisha na wale waliokimbilia kwenye miti.Mvua zikinyesha na maji yakianza kujaa huibuka juu na kuanza maisha mapya,lkn kipindi hiki huwa wachache sn maana mamba wengi walikufa kipindi cha ukame Kwa njaa na kutozoea mazingira ya kuishi nje ya maji
Kipindi hiki ndicho ambacho unaweza 'kumtukana mamba na mto ukavuka' maana mto pengine ni mkubwa lkn hauna mamba wengi.Lakini ikipita kuanzia miezi mitatu baada ya maji kujaa ukivuka mto unaweza usiwe na bahati
Asante kwa Elimu yako hii Kubwa Ndugu. Ubarikiwe kwani nimeelimika zaidi. Na hii ndiyo raha na faida ya Mtandao huu wa JamiiForums.Huwa wanatafuta mahali nchi kavu kama mapango au bonde kisha hujibanza hapo!!
Mamba ana uwezo wa kujizima mwili wake(hibernate)yaani moyo wake unapiga mara mbili ndani ya dakika moja!!!hutulia hapo pasipo kujigusa hata kwa muda wa mwaka mzima!!pia wako wale aligators kule marekani ikifika kipindi cha WINTER maji ya mito huganda!na wao huganda kabisaaa hadi organs zao!!but winter ikiisha wanarudi upya kabisa....!
Ahsante mwalimu wa maarifa ya jammiiGhuba ni sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu
Rasi ni sehemu nyembamba ya ardhi iliyoingia baharini
Penisula
Ni sehemu kubwa ya ardhi iliyoingia baharini
Gulf ni Ile sehemu ya MAJI ilioingia bandarini,kurasini, Vijibweni. Na ndio swali la Red GiantMsasani peninsula..
Oyster bay..
Kigambon ni gulf?Sidhani
Sehemu ya maji ikiingia ndani ni peninsula
Ardhi ikiingia baharini ni bay
So tuna msasani peninsula
Na Oyster bay..
Kigambon sidhani kama ni gulf
Asante sana kwa Elimu yako hii Kubwa Ndugu. Ubarikiwe mno.Wanachimba mashimo makubwa sn chini ya ardhi na hukaa huko kipindi chote ambacho mto umekauka.Wengine wakati maji yanaisha kwenye mto na kubakia tope zito hutoka na kukimbilia nchi kavu.Hawa mara nyingi hufa huko maana hawawezi kusavaivu nje ya maji Kwa muda mrefu Kama kenge
Walio ndani ya mashimo hupata baridi na wanaishi Kwa muda mrefu sn kulinganisha na wale waliokimbilia kwenye miti.Mvua zikinyesha na maji yakianza kujaa huibuka juu na kuanza maisha mapya,lkn kipindi hiki huwa wachache sn maana mamba wengi walikufa kipindi cha ukame Kwa njaa na kutozoea mazingira ya kuishi nje ya maji
Kipindi hiki ndicho ambacho unaweza 'kumtukana mamba na mto ukavuka' maana mto pengine ni mkubwa lkn hauna mamba wengi.Lakini ikipita kuanzia miezi mitatu baada ya maji kujaa ukivuka mto unaweza usiwe na bahati