Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Hii ni kweli kuna mkubwa mmoja namjua alijitolea kiwanja kuwapa "ccm kata " wajenge ofisi na kutumia eneo hilo ila ilipofika wakati wa kampeni alivochukua form ya jumuiya ya wazazi alikuwa anatukanwa utadhani mtoto yatima.
Aliandamwa hadi akaonja joto ya jiwe.
Ilinigusa sana.
 

Hatari Sana
 
Pointi yako namba 5 haina ukweli.

Kila mtu angewekeza na kufanya kwa kiasi hapa duniani sidhani kama tungefanikiwa kupata maendeleo makubwa na vitu vikubwa ...

Kama uwezo upo fanya kila kitu to the fullest.

Usipowekeza duniani hakuna sehemu nyingine ya kuwekeza.

Wanasayansi kama kina Nikola Tesla, Isaac Newton, Albert Einstein, Michael Faraday n.k

Wasinge wekeza muda, nguvu na maarifa yao ya kutosha, Leo hii tusingekuwa na maendeleo haya makubwa ya sayansi na teknolojia.

Wazazi wa Mo Dewji, Wasinge wekeza nguvu za kutosha kutafuta mali na utajiri leo hii Mo Dewji angekuwa mtu wa kawaida tu, Apeche Alolo kama raia wengine.

Kila mtu awekeze vya kutosha hapa duniani ili kizazi chake kifaidike na uwepo wake hapa duniani.
 
Uko wapi....
 

Kwa uelewa wako Wakina Mo waliwekeza zaidi kuliko Watu Wengine kwèñye hii nchi?

Utajiri NI zaidi ya kuwekeza,

Unaweza ukawekeza to the fullest na matokeo yakawa madogo alafu kuna wenzako wakaweka kidôgo n matokeo yakawa Makubwa.

Maisha ni mchezo usiohitaji hasira
 

Maisha ni kwaajili ya kufurahi.

Kuwekeza sop tatizo ila Kutumia Ñguvu kûbwa Hadi kujitesa ndîo tatizo ninalolizungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…