Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Sikubaliana na hata moja,sorry lakini.
Kwa ambao siasa iko damuni anawekeza kuonyesha uwezo wake.Hata akifukuzwa kaacha alama.
Dini,hufanyi ufaidike(wenye wito kweli) unafanya uguse watu haijalishi ni kwako.
Kama watu tunawekeza kusaidia yatima tukiwa hatutegemei chochote kutoka kwao kwanin iwe shida kwa mtoto wa mpenzi wako.Unasaidia faida ni siku moja umuone sehemu ambayo unajiambia bila mim asingefika hapa.Inafurahisha sana.
Duniani,kwamba tusipambane kutengeneza paradiso zetu hapa?Mbinguni una hakika kupo?
Nilitegemea useme ukipanga usitumie gharama kubwa kuibadilisha nyumba ya watu iwe ya kifahari subiri ujenge kwako.
Au kama unaweza jenga jengo lako ufanyie biashara zako sbb ya watu wanaweza kukutoa wafanye wao hiyo biashara na vitu kama hivyo