Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Sikubaliana na hata moja,sorry lakini.
Kwa ambao siasa iko damuni anawekeza kuonyesha uwezo wake.Hata akifukuzwa kaacha alama.

Dini,hufanyi ufaidike(wenye wito kweli) unafanya uguse watu haijalishi ni kwako.

Kama watu tunawekeza kusaidia yatima tukiwa hatutegemei chochote kutoka kwao kwanin iwe shida kwa mtoto wa mpenzi wako.Unasaidia faida ni siku moja umuone sehemu ambayo unajiambia bila mim asingefika hapa.Inafurahisha sana.

Duniani,kwamba tusipambane kutengeneza paradiso zetu hapa?Mbinguni una hakika kupo?

Nilitegemea useme ukipanga usitumie gharama kubwa kuibadilisha nyumba ya watu iwe ya kifahari subiri ujenge kwako.

Au kama unaweza jenga jengo lako ufanyie biashara zako sbb ya watu wanaweza kukutoa wafanye wao hiyo biashara na vitu kama hivyo
 
SEHEMU YOYOTE ÀMBAYO UNAWEZA KUFUKUZWA MUDA WOWOTE, USIWEKEZE ÑGUVU NYINGI HAPO. SEHEMU HIZÔ NI KAMA IFUATAVYO;​

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Kama Kichwa kinavyoeleza.
Sehemu yoyote na Mahali popote àmbapo Upo lakini unaweza kufukuzwa Muda wowote basi kiushauri sehemu hiyo usiweke Ñguvu nyingi Hapo, usiwekeze Ñguvu nyingi Hapo. usije ukaumia.

Tumia Ñguvu nyingi kadiri uwezavyo, wekeza Ñguvu nyingi kadiri ya ulivyojaliwa Mahali àmbapo hakuna wakukufukuza, yàani wewe ndiye Mmiliki wa Eneo Hilo.

Sehemu yoyote àmbayo ukigombana na wakubwa WA eneo Hilo wanauwezo wa kukufukuza, Eneo Hilo usitumie Ñguvu kûbwa na usiwe na matarajio nayo Makubwa. Ipo Siku utaumia.

Maeneo hayo ni Kama Ifuatavyo;
1. Vyama Vya Siasa.
Ikiwa unajua Kabisa wewe sio Mmiliki wa Chama hicho au Sheria haikupi mamlaka ya KUMILIKI Chama hicho kwa umilele yaani mpaka mwisho wa uhai wako. Usitie Ñguvu nyingi Sana. Usijitese kivile.

2. Madhehebu ya Dini.
Upo dhehebu Fulani, usitumie Ñguvu zako zote kujenga dhehebu àmbalo wewe sio Mmiliki Wala muanzilishi WA dhehebu Hilo.
Unaweza ukafukuzwa Muda wowote.

Kwa Sasa mambo yanaweza kuonekana Sawa lakini hiyo haimaanishi kwamba yataenda Sawa Siku zote.
Jambo ambalo Mmiliki wake NI Mwingine na sio wewe linaweza kukubadilikia Muda wowote.

Mfano, Madhehebu ya Dini yanaweza kuanzisha utaratibu mpya kinyume na misingi ya zamani na hutokuwa na lolote la kufanya. Kwa mfano Dhehebu Fulani linaweza kusema Ushoga siô Kosa na watafungisha Ndoa za mashoga. Àmbaye hataki afungashe virago aondoke.

Hutokuwa na lakufanya, kitakachokuuma zaidi ni Ñguvu nyingi ulizotumia na kuamini katika Jambo ambalo wewe sio Mmiliki.

3. Kampuni au Taasisi
Kampuni au Taasisi àmbayo wewe sio Mmiliki àmbayo Muda wowote unaweza ukafukuzwa usitumie Ñguvu nyingi kuwekeza Hapo. Fuata job descriptions ya Kazi yako, usizidishe Wala kuwa n kiherehere cha kujitoa kupita kiasi. Ili Siku ukifukuzwa au kukosewa heshima usije ukaumia na kulaumu.

4. Mtoto wa Kambo
Usije ukatumia Ñguvu nyingi kuwekeza Kwa Mtoto ambaye unajua Kabisa sio Wako Kwa kule kujidanganya kuwa ni Sawa na wako.
Huyo siô Mtoto wako na hauna mamlaka naye yoyote Kwa Sheria zozote labda Sheria za kitapeli.

Unaweza ukawekeza Kwa kiwango cha Kati ambacho hakikuumizi lakini siô kuwekeza Kwa kiwango ambacho unadhani NI kitû chako yàani Kutumia Ñguvu zako zote. Utaumia Hakika.

5. Dunia
Usitumie Ñguvu kûbwa kiasi cha kujiumiza kuwekeza Hapa Duniani Wakati unajua hata ufanyaje Ipo Siku yôte unayoyafanya na uliyonayo utayaacha na utakufa.
Fanya Kwa kiasi,

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Uko sahihi kabisa mkuu. Vipi kwenye ndoa? Maana unaweza ukawekeza nguvu zako nyingi huko ukashangaa unasalitiwa au mkaachana. Huko tufanyeje maana kuna viapo vingine vinasema eti mpaka kifo kiwatenganishe hata kama mwenza wako anataka kukuwekea sumu au anakudunda kila siku. Hapo dawa nadhani ni kuishi tu bila kujiinguza kwenye viapo kama hivyo kama hataki aende
 
Hicho ndicho kinawafanya wafanye Kazi Kwa Bidii Kwa sababu wanafanya kwaajili ya vitu wanyomiliki.

Sasa utafanyaje kazi Kwa Ñguvu zote Kwa kitu unachojua siô chako? Na Haki zako zinaweza kusiginwa Muda wowote na hutokuwa na chakufanya?
Mtu anafanya kazi Apple au Google, ameajiriwa hapo, niambie hati miliki yake iko wapi. Na anafanya mengi makubwa.
 
Mkuu hivi huwa unaandika kwa akili zako kweli? Mbona hakuna utimamu sawasawa na fikira za kawaida za binadamu. Atleast point mbili naweza ungana na wewe hasa hiyo ya Dini na kwenye Taasisi au kampuni.

Kwingine kulikobaki umepuyanga na napata mashaka na maandiko yako mengine maana huwa sisomi yote baada ya kuona mipuyango mingi.
 
Kuwekeza Mtu hajakatazwa ila kufanya Jambo na Kutumia Ñguvu kûbwa kupitiliza ndîo nimetoa angalizo

Hii jamii forum unahakika gàni kwamba Max alihenyeka Kwa kiwango cha kujiumiza au alitumia Ñguvu za kawaida au Ñguvu kidôgo?
Yaan hii point ya 5, inawa distort watu kisaikolojia, ataona hamna haja ya kuwekeza kikubwa coz mda wowote nawez toweka dunian,

Mtu mjenge kisaikolojia kwa kipindi atakachokuw dunian awekeze tu kwa kadri awezavyo so as to have personal development ambayo n nzuri na ikasaidia kwenye kizaz chake
Kwamfano watoto wa bhakresa wanafurahia matunda ya uwekezaj wa wazaz wao still wanaendelez huo uwekezaj , nna mengi yakuandka but basi tu ungekuw live ningekueleewesh 🙏
 
Mwandishi yupo sahihi Senma point namba tano imewagusa Sana kwakuwa watu wengi mmefanya attachment na maisha ya duniani.
 
Mkuu hivi huwa unaandika kwa akili zako kweli? Mbona hakuna utimamu sawasawa na fikira za kawaida za binadamu. Atleast point mbili naweza ungana na wewe hasa hiyo ya Dini na kwenye Taasisi au kampuni.

Kwingine kulikobaki umepuyanga na napata mashaka na maandiko yako mengine maana huwa sisomi yote baada ya kuona mipuyango mingi.

Kwani wewe mtazamo wako NI UPI?

Unaposema ndîo maana husomagi maandiko yàngu yote Unamaanisha kûna ulazima WA kusoma kile nilichoandika usome chote?

Au kûna aliyekutuma au kukushinikiza usome chote kile ninachoandikaga?
Kûna wenzako hawasomi Kabisa, kûna wenzako wanasoma Nusu kama kama wewe, kûna Wengine wanasoma Full.
Wewe kusoma au kutokusoma unafikiri inanihusu Mimi Kwa Jambo lolote? Au unajipa umuhimu kama tunafahamiana?

Kusoma au kutokusoma lipo juu yako.
Kutoa maoni au kutokutoa maonî lipo juu yako. Ukinieleza Mimi kuwa ndîo maana husomi yôte unàtaka msaada wàngu au unàtaka nifanye nini?

Unàtaka niandike mawazo yako Hapa? Unataka niandike unavyotaka Hapa?
 
Yaan hii point ya 5, inawa distort watu kisaikolojia, ataona hamna haja ya kuwekeza kikubwa coz mda wowote nawez toweka dunian,

Mtu mjenge kisaikolojia kwa kipindi atakachokuw dunian awekeze tu kwa kadri awezavyo so as to have personal development ambayo n nzuri na ikasaidia kwenye kizaz chake
Kwamfano watoto wa bhakresa wanafurahia matunda ya uwekezaj wa wazaz wao still wanaendelez huo uwekezaj , nna mengi yakuandka but basi tu ungekuw live ningekueleewesh 🙏

Kutumia Ñguvu kupita kiasi Hilo Kwa upande wàngu simshauri MTU.
Ila maneno yàngu siô Sheria
 
Mtu anafanya kazi Apple au Google, ameajiriwa hapo, niambie hati miliki yake iko wapi. Na anafanya mengi makubwa.
Kabisa mkuu.
Na ndio maana unaambiwa fanya kazi uipendayo ili uingize kipato ukiwa unaenjoy kuonyesha kipaji/uwezo wako.

Mf movie directors utamwambia warners bro wakikupa kazi usijitume sana hadi uwe na kampuni yako?
Wakati wapo watu wanapata tuzo kubwa na dunia inatambua vipaji vyao kwa kufanya kazi chini ya wengine
 
Kwa hiyo hapa duniani tufanye nini sasa? Wacha kudanganya wenzio!
 
Kwani wewe mtazamo wako NI UPI?

Unaposema ndîo maana husomagi maandiko yàngu yote Unamaanisha kûna ulazima WA kusoma kile nilichoandika usome chote?

Au kûna aliyekutuma au kukushinikiza usome chote kile ninachoandikaga?
Kûna wenzako hawasomi Kabisa, kûna wenzako wanasoma Nusu kama kama wewe, kûna Wengine wanasoma Full.
Wewe kusoma au kutokusoma unafikiri inanihusu Mimi Kwa Jambo lolote? Au unajipa umuhimu kama tunafahamiana?

Kusoma au kutokusoma lipo juu yako.
Kutoa maoni au kutokutoa maonî lipo juu yako. Ukinieleza Mimi kuwa ndîo maana husomi yôte unàtaka msaada wàngu au unàtaka nifanye nini?

Unàtaka niandike mawazo yako Hapa? Unataka niandike unavyotaka Hapa?
Usiumie kwakua sisomagi maana naona ndipo ulipokomalia. Zingatia mantiki yangu ambayo ni kuwa unachoandika haki make sense kwa sababu huwezi kumwambia mtu asiwekeze saaana kwenye hii kwa sababu wote tutakufa. Ni kweli tutakufa ila fikiria kama kila mtu angekua mentality kama yako dunia hii tungekua wapi?

Punguza hasira tuzungumze huu utopolo mdogo ulioweka kwenye hii mada yako.
 
Back
Top Bottom