Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Tafuta sana pesa Mungu hatumii watu maskini kuonyesha utukufu wake, tafuta ukifa wanao hawatopata tabu na dhiki ayo mengine sahihi
 

Wapi nimekataa kukosolewa?
Ningekuwa nakataa kukosolewa unafikiri ningekuwa naandika kwenye mitandao ya kijamii?
Huu unaenda mwaka wa kumi tangu nianze kuandika mitandaoni.
Sijawahi kum-block mtu na sidhani kama nitakuja kufanya hivyo. Kama ningekuwa nachukia maoni ya watu wengine ningekuwa nimeshawahi kum-block mtu au humu JF kumu-ignore lakini sijawahi

Unachokosea ni kunisingizia na hapo ninapokukataa unasema sitaki kukosolewa
 
Tafuta sana pesa Mungu hatumii watu maskini kuonyesha utukufu wake, tafuta ukifa wanao hawatopata tabu na dhiki ayo mengine sahihi

Watu wengi yaani Asilimia 90 % aliowatumia Mungu walikuwa maskini yeye ndiye akawapandisha juu.

Niambie ni nani unayemjua alikuwa tajiri au napesa aliyetumiwa na Mungu akiwa na Pesa zake nataka kumjua legend hata mmoja tuu

Yesu alikuwa Maskini mtoto wa Seremala.
Muhammad alikuwa Maskini na Yatima
Daudi alikuwa Maskini na mchungaji wa ng'ombe
Musa alikuwa Maskini na mtoto wa mtumwa aliyekuja kulelewa na Binti Farao.
Mitume wote 12 wa Yesu walikuwa maskini
Ibrahim alikuwa Maskini
Yakobo, Isaka, watoto wote wa YAKOBO hawakuwa sio lolote sio chochote.

Au unazungumzia mungu wa kabila au taifa gani ndugu?
 
Reactions: K11
Apeche alolo km wew mkuu🙏
 
Waafrika tunapongezana kwa kufundishana umaskini na roho mbaya huku tukiongozwa na ubinafsi
 
Mkuu point no 5.....................binafsi nimeconclude kuwa hatutakiwi kuwekeza popote, si ndio? Mana 1 - 4 zote zipo duniani
Literally anasema 'usiwekeze kupita kiasi', nadhani anakazia kwenye KUPITA KIASI. Too much of anything ndicho alichomaanisha kiepukwe.
I might be wrong though lakini ndiyo nilivyomuelewa.
 
Always never Disappoint!
 
Noted

kesho Tutalifanyizia Kazi Kweli Kweli
 
Uko sahihi
 
Hapo kwenye vyama vya siasa niliona.
Kuna mzee alijitolea kiwanja ili ijengwe ofisi ya katibu wa wazazi wa CCM (W).
Ilipofika uchaguzi wa CCM 2022 wakati wa kampeni alitukanwa kila tusi.
Hadi nafasi akaikosa.
Disgusting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…