Sehemu za Gym ni hatari Mke wa mtu akienda lazima aliwe

Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa
Bwna yani mie napenda kwenda gym kuwaona warembo wakiwa wamevaa vicondom vyao... Basi nyoyo zinadundadunda tuu wakiwa kwa ile mashine ya kukimbia.
Raha zaidi pale wanalofanya squats na deadlifts yaani wenye vyura unawafaidi balaa.
 
Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa

Kuna ka ukweli.

Ni bora wanaume au wanandoa wakafanya hivi:

1. Kufanya mazoezi pamoja kama vile jogging au kutenga chumba special kw mazoezi. Kuna baadhi ya mazoezi ata hayahitaji vifaa.

2. Mkienda Gym mnaenda wote. Wewe na Mkeo. Hafu unakua mkali kwa trainer.
 
Wee uende gym na wife utashindwa kucheki misambwanda ya warembo vizuri kaka.
Gym nenda mwenyewe ukaone matiti na mavyura yaki vibrate.
 
kuna saloon moja maarufu sana hapa mjini ipo mitaa ya mlimani city, aisee yule jamaa anawaidi sana mademu..[emoji28] hadi namuonea wivu
 
Back
Top Bottom