Sehemu za Gym ni hatari Mke wa mtu akienda lazima aliwe

Sehemu za Gym ni hatari Mke wa mtu akienda lazima aliwe

Hahahaa hakuna kitu huuma kama your significant other being chewed outside by some other random dudes. For the record, 99% of all modern women will cheat at some point in the union. Most due it purposely to get back at the nigga/wigga when he slips. Sad but true, marriage is a mental institution.

In the modern world, there is no valid reason to get married other than children. If there was a cheap way of having children (personally, I'm not fond of surrogacy) and not marrying women. Women could have lost all their leverage.

Men should figure a way around not needing a woman to have children. Only then we will have true freedom from this marriage nonsense.
 
Hao wanawake wanajitafuna wenyewe😏

Ila wanawake sio watu ni bin adamu.
 
Mkuu hilo lipo wazi PLAIN, ni sawa sawa na sisi wanaume tukatishe kwenye massage & spa centers, uhakika wa kutoka mwepesi ZAIDI ni 80% mda wanaoenda gym hawa wanawake zetu ndio muda tupo ofisIni tunaumiza vichwa kutafuta pesa ama bar unapooza kichwa, ama umelala asubuhi weekend una hangover zako yeye anakunjwa kunjwa kiuno na viungo na tight yake spesho inayoonyesha mipaka na mivimbonyote ya papa na muhuni ambaye kazi yake ni hana kazi zaidi ya kupiga chuma na kubeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ww uko bar unafuga kitambi mke anapambana na tumbo, kule anakutana na six packs za kutosha na wengi wako na nguo za mazoezi au wako vifua wazi. mke anatamani hata kushika shika tu mwisho analiwa kimasiharaa. weka plan mkeo huoooo tutamla kimasihara sisi tunafanya mazoezi ww kunywa beer.
Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malizia huwa mnafirwa sana mkimamatwa, kwa sababu sio wote wanarekodi mengine yanaisha kimya kimya
sasa ww uko bar unafuga kitambi mke anapambana na tumbo, kule anakutana na six packs za kutosha na wengi wako na nguo za mazoezi au wako vifua wazi. mke anatamani hata kushika shika tu mwisho analiwa kimasiharaa. weka plan mkeo huoooo tutamla kimasihara sisi tunafanya mazoezi ww kunywa beer.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida kuna wenza hawako serious kabisa. mume mjinga mjinga tu leo anaamua kufanya mazoezi kesho anaona jauu. mke anajiona anachuja mwili unakuwa hovyo anataka kufanana na wenzake. anakaza mpka anaamua kwenda gym sasa kule saasaaaaa ndo mbooooga ya ....
Kuna ka ukweli.

Ni bora wanaume au wanandoa wakafanya hivi:

1. Kufanya mazoezi pamoja kama vile jogging au kutenga chumba special kw mazoezi. Kuna baadhi ya mazoezi ata hayahitaji vifaa.

2. Mkienda Gym mnaenda wote. Wewe na Mkeo. Hafu unakua mkali kwa trainer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njemba inakula mpaka powder kujiweka sawa yeye na tumbo lake kama mjamzito wa miezi 10 hahahahaha pole yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure man ma manzi kwenye body nzuri hawaruki..amini kwamba..asa mtu ana mtumbo mkubwa Kama parachuti unafkiri Nani atapenda kuushika..they like to touch hot and sexy bodies..na waliweee tu ao wake za watu
 
Back
Top Bottom